Rais Kagame kuwasili Dar July 1 2016 kwa ziara ya kikazi.


Huwa nakuambia
Ufikie hatua ukue kijana

Uki unwatch thread unamkomoa nani!!!

hahaha huo ni ujinga
Nibora ungesema log out jf
Hujaitwa hujalazimishwa kuchangia jf
Wacha tuchangie sisi tudio penda chuki, wivu na kupenda sifa mwiko

Thread yeyote sisi tunachangia
 
Nusu ya badjet ya kenya inakwenda kwenye wizi na ufisadi

Yafichuka Sh8 bilioni zilifujwa katika Wizara ya Ugatuzi

Imepakiwa - Thursday, June 23 2016 at 21:24
Kwa Mukhtasari
Zaidi ya Sh8 bilioni zilifujwa katika Wizara ya Ugatuzi na Mipango ya Kitaifa katika mwaka wa kwanza wa utawala wa serikali hii ya Jubilee, Kamati ya Bunge kuhusu Uhasibu wa Pesa za Umma (PAC) imebaini.


ZAIDI ya Sh8 bilioni zilifujwa katika Wizara ya Ugatuzi na Mipango ya Kitaifa katika mwaka wa kwanza wa utawala wa serikali hii ya Jubilee, Kamati ya Bunge kuhusu Uhasibu wa Pesa za Umma (PAC) imebaini.
Kamati hiyo inayoongozwa na Mbunge wa Rarieda Nicolas Gumbo amemtaka Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Kerioko Tobiko kuwafungulia mashtaka makatibu wa wizara waliohudumu katika wizara hiyo nyakati hizo.

PAC ilisema kufikia sasa wizara hiyo haiwezi kuelezea jinsi pesa hizo zilivyotumika.

Hii ni kutokana na kisa cha mwaka 2015 ambapo rejista ya mali iliyonunuliwa na wizara hiyo ilionyesha kuwa bei zao ziliongezwa kupita kiasi.

Kwa mfano, ilibainika kuwa runinga moja ya kisasa iliyotumika katika afisi ya aliyekuwa waziri katika Wizara hiyo Bi Anne Waiguru ilinunuliwa kwa Sh1.8 milioni badala ya bei ya kawaida ya Sh100,000.

“Maafisa wakuu katika wizara ya Ugatuzi na Mipaka walishindwa kujibu maswali yaliyoulizwa kuhusu matumizi ya pesa hizo.

Maafisa hao waliongozwa na aliyekuwa Katibu mara tatu lakini kila mara waliomba kupewa muda kutoa maelezo,” PAC inasema kwenye ripoti iliyowasilishwa bunge leo na Bw Gumbo.

Aliyekuwa Katibu katika wizara hiyo wakati huo Dkt Peter Mangiti alifutwa kazi na sasa anakabiliwa na mashtaka kuhusiana na kupotea kwa Sh791 milioni katika Shirika la Vijana kwa Huduma ya Kitaifa (NYS), kamati hiyo ilisema.

Sasa wabunge watapata fursa ya kuijadili kwa kina ripoti hiyo kabla ya kuipitisha au kuikataa.



Nibora kuwa na kidogo kikatumika vyema
 
Watu wanadanganywa kama kutakuwa na bomba la mafuta kutoka lamu kwenda adds
Hehehe hizo ni porojo tu

Jamaa anajipanga kutafuta lipi lakuongea uchaguzi ujao,

Kenyatta anahaha
Kilasiku yupo ndani ya ndege
Anaruka kama kuku hatulii hahaha



Mkenya mmoja kahoji haya kuhusu hilo

Uhuru had signed similar agreement uganda. Before magufuli appeared.
-Ethiopia does not have oil yet. Wht crude will pipepline transport from ethiopia?
-Ethiopia is kenyas biggest competitor now. I very much suspect ethiopia prime minister came to benchmark, and see how he can beat kenya further to oblivion.
 
museveni is withdrawing his troups by nxt yr..ethnic animosity and genocide internaly frm the election, then alshabab will make nrb their hq...watch out.teh teh
 
Achana na 254. Tunamsubiri Kagame ila mwambie aje na aki na dada wa kutosha tuoshe macho kupunguza stress
 
Anayelilia ni nani kama sio nyie wakenya baba kauzibe,mara huku mara kule,mara ufaransa kuziba mara Uganda lakini hapa KAZI TU, Mtaipata sasa mmekimbilia Ethiopia je huyo si tembo mkubwa mweupe?,acha wivu mwenye fursa mwache atumie fursa na sio ubabe.
 
Yaani kama muna watu hamwendani nao kabisa ni waethiopia. In terms of ujirani katika ukanda huu you are stuck with us mpende msipende. Mnalalamika closed economy na protectionism ya bongo.......ET is worse!
Hivi protectionism maana yake ni kui'miss' sukari kama mnavofanya watz?
 
Hivi protectionism maana yake ni kui'miss' sukari kama mnavofanya watz?
Weeeee koma!
Unautukana mkono ukulishao?
Angalia kijana msije rudia kula mavi yenu kama ndugu zenu wakamba......njaa noma asikuambie mtu!
 
nyi wabongo na ndoto zenu za alinacha sijui mtakomaa lini.....habari zenu mwazileta jukwaa la Kenya.ili iweje sasa?habari zetu zikawakwaze mkomae kukejeli.kwa hiyo hao waethiopia walifunga safari kuja kenya ili tudanganyane kuhusu bomba.Wivu ni kitu kibaya sana na kabla mjigambe apa hamna chochote kinachotusaidia.hakuna lolote tunaloweza jifunza toka kwenu heri ethiopia mara mia saba tunaezawaiga wanavyobadilisha miundombinu yao.you are very insignificant to kenya.jipeni shughuli kuendeleza nchi yenu
 
Weeeee koma!
Unautukana mkono ukulishao?
Angalia kijana msije rudia kula mavi yenu kama ndugu zenu wakamba......njaa noma asikuambie mtu!
hahhahahaaa umempa za usoni!!.. wakamba wamejaa huku hawataki kula mbwa na mavi kenya!!.
 
Weeeee koma!
Unautukana mkono ukulishao?
Angalia kijana msije rudia kula mavi yenu kama ndugu zenu wakamba......njaa noma asikuambie mtu!
Kumbe ndo haya matokeo ya kukosa sukari,duh!Mbona hata hueleweki?Katafte miwa baba!
 
hahhahahaaa umempa za usoni!!.. wakamba wamejaa huku hawataki kula mbwa na mavi kenya!!.
Unadhani hatujui watz huko mikoani kwao mbwa na kima ni kitoweo?Afu kwenye hiyo mix ongeza albino,waah!Mnatisha,yaani hata nyama ya mbuzi hamna hamu nayo tena?
 
Mkubwa unatia aibu ujue..
Najua unayatamani sana maisha ya wabongo.
Hivi toka lini mna urafiki na Ethiopia??

Yaani Leo eti Kenya na Ethiopia?? Hahaha..
Huwa mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe,
Kwa sasa wakenya hamelewani na majirani zenu wote,
Mshukuru sisi watz tuna hekima sana,
We are your real brother pamoja na hiyo mihemko yenu yote tunawavumilia tu..
Ila tukiwachoka siku moja sijui mtakimbilia wapi..
 

Ndio hapo huwa mnapoteza maana mnahusisha biashara na urafiki, sisi hatutafuti marafiki ila maslahi. Hayo mambo yenu ya undugu ndio yamewafanya miaka yote mpo maskini wa kutupwa halafu wakati mna madini mengi tu, maeneo yamebaki mahandaki maana wanaojua kutafuna shamba lenu la bibi wanakuja na hizo hadithi mnazozipenda za undugu na urafiki, mnakenua meno na kuachia kila kitu.

Kwa Wakenya hakuna cha urafiki wala undugu kwenye biashara, tunawekeana mezani mikataba na kusoma neno kwa neno huku kila mmoja amenuna utadhani kapokonywa mke, kila mmoja kwanza aridhike na maslahi yake. Hayo ya shikamoo na urafiki na undugu ni ya baadaye saaana kama tumekubaliana kuhusu maslahi.

Waswahili, Nyerere aliwaponza sana na ndio hadi Magu sasa hivi anapata shida sana kuwalainisha. Kaja na vurugu za kushtukiza lakini akapata nyie ni wale wale hambailiki ng'o, wavivu na wezi. Juzi nimesoma sehemu waziri mkuu ameshtukiza bandarini na kukuta makontena hata baada ya kuwafuta kazi wakubwa, yaani hambadiliki, nyie ni mfupa uliomshinda fisi. Naona mumewekewa hadi sheria ya kulazimisha kudai risiti baada ya manunuzi. Shughuli na vituko vyote.
 
Hahahahaha.
Inamaana sisi ni wezi kuliko nyie??
 
Duuuh,wenyewe hawapendi
 
you know you desperate when you start quoting ghafla.

you brag about a helicopter when tanzania cant even manage keep an airline.

you sneer at ethiopia when its building big projects than the whole EAC combined.

you bragging about tanzania inviting rwanda for a state visit when the economies of tanzania rwanda and uganda combined are still smaller than kenya and ethiopia. the population of kenya and ethiopia are still bigger than tz rw and ug combined.

we havent even talked about south sudan yet.

so are you jealous or just another product of the inferior tanzanian education system? dont even answer that because everyone knows tanzanians suffer from the bongolala syndrome.
 
Wahabeshi wasikutie wasiwasi kaka, tunawakamata wengi kwenye makontena wakitoroka nchi yao. Tutakwenda nao tu, watupende au vinginevyo.
Madem wao ni hatari kabisa,au unasemaje?kaka tupange tour huko
 
you brag about a helicopter when tanzania cant even manage keep anairline.

Waaa.... That's deep. Haha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…