Rais Kagame kuwasili Dar July 1 2016 kwa ziara ya kikazi.

Rais Kagame kuwasili Dar July 1 2016 kwa ziara ya kikazi.

Madem wao ni hatari kabisa,au unasemaje?kaka tupange tour huko

Mbona Nairobi unawapata pata bila hata kuhangaika, nenda maeneo ya Westlands utakuta watoto wa Kihabeshi akitabasamu unatamani ufe kwa raha.
 
Asante kwa taarifa lakini sasa hivi mawazo yetu yapo kwenye taarifa za ushirikiano wetu na heavyweight mwenzetu Ethiopia. Tukipoteza muda kuangalia walio nyuma na chini yetu tutapoteza. Bajeti yetu kwa sasa hivi labda muungane Afrika mashariki yote ndio mtunusie. Sasa kwa wewe kuleta hizi habari kwenye upande wa Kenya utakua unatuburuza turudi nyuma.

Nyie mnamhitaji huyo Kagame awanyooshe na kuwaonyesha jinsi ya kuboresha nchi, mwenyewe keshasema mkimpa bandari atawalisha nyote na ibaki chenji.

nasikia ethiopia nao wanapigana na eritrea. kweli mko mnafanana
 
nasikia ethiopia nao wanapigana na eritrea. kweli mko mnafanana

Dunia yote ipo vitani, wewe endelea kubweteka hapo baada kula ubwabwa kwa mama ntilie uswazi, yatakukuta mlangoni ndio utakoma.
 
dua la kuku hilo

Vurugu na vita sio mambo na dua wala nini, tangu uumbwaji wa dunia vita vimekuwepo na hamna jinsi ya kukwepa. Mapanga ya Armageddon yanakuja duniani pale utajikuta kwenye maamuzi ya aidha uchinje ama uchinjwe. Hivyo usikae hapo ukiwacheka wale ambao imewafikia, lazima itatua kwa kila mlango.
 
Back
Top Bottom