Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwako Rais wa TFF,
Shikamoo popote ulipo.
Nichukue muda wangu nisikuchoshe sana, hapa nchini kumekuwa na aina kadhaa za wasemaji wa mpira.
1. Wasemaji viherere.
2.Wasemaji wapiga domo
3.Wasemaji waongo
4.Wasemaji vichekesho
5.Wasemaji waimba taarabu
6.Wasemaji wasomi wenye busara
Ndugu yangu Karia si mbaya kumshukuru Mungu na kukuomba kwa dhati kama ikimpendeza Allah Swabahana tukamwekea walau ka sanamu kijana wetu ndugu yetu Ali Kamwe msemaji wa Dar Young African.
Kiujumla amekuwa msemaji wa busara hakurupuki hana shobo na viherehere na vyombo vya habari.
Sio mpiga domo kama ndugu yetu wa jirani pale msimbazi. Sio mwongo kama ndugu yetu wa msimbazi.
Imagine anaulizwa mmesajili bila kocha bila aibu ati kocha akiwa South Africa ndie alikuwa akichagua nani aje aise.
Matumaini yetu ombi letu wana Yanga litafanyiwa kazi mashallah kuona kijana akibaki kwenye kumbu kumbu ya wasemaji boraa Africa.
Nawasilisha