Acha ujinga kama hujui siasa kaa kimya usilete siasa za maji taka za TZ
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuwa wanajiandaa kupinga matokeo....!Kalonzo wa NASA afunga campaign ya NASA akionya Watu Wa Mlima Kenya (Wakikuyu) kuwa watalipia ikiwa NASA itashika uongozi. Kweli NASA ni watu wa siasa za chuki. Upumbavu wao umekithiri.
https://www.facebook.com/video.php?v=10214899096619331
One nation under God. It gives great joy to see one is giving thanks and praise to the most high hata akiwa anafake but it soothe and honour God.Si kila anaye anza na Mungu huwa anaye Mungu!! Mengine mazinga ombwe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, wala sijawai dhani Uhuru anafake. Hii ndo character yake hata kabla awe rais. Tunawafahamu wale wanaopita kwa waganga kule Nigeria. Kesho yake unawaona Israel. Kwao ni maigizo tu. Juzi juzi waliwaambia wafuasi wao wasifanye ngono usiku wa kuamkia siku ya kupiga kura! Maombi ni kitu simpo sana lakini muhimu zaidi ya mengine yote!One nation under God. It gives great joy to see one is giving thanks and praise to the most high hata akiwa anafake but it soothe and honour God.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampenda Uhuru..lkn chaguo ni lenu wakuu.Uhuru amemaliza vizuri sana, vipi hiyo ya Kalonzo ungeweka na video kabisa.
Kila heri kwenu. Mungu awasaidieJambo hili nililiona zamani tu! Kwenye mikutano ya NASA, kawaida yao hamna cha maombi wala nini! Wanaanza tu na kukatika ohangla. Hutaskia Raila akisema tukishika hatamu, INSHALLAH. Cha ajabu, Uhuru na urais wake, kila wakati huwa anamalizia na Mungu akipenda na anaanza na tuombe kwanza. Kwangu hii ndo ishara kuu ya kiongozi mwenye busara. God above everything! Yaani Mungu kwanza, uwe mkristo, muislamu, wa imani za asili, mjehova Wanyonyi, haijalishi. Mimi kura yangu ntaipiga nikitizama yote kwa jicho la tatu!
AmenOne nation under God. It gives great joy to see one is giving thanks and praise to the most high hata akiwa anafake but it soothe and honour God.
Sent using Jamii Forums mobile app
Seriously sijaona ubaya wa Uhuru. Wakenya mtakuwa wajinga kama sisi mkimchagua Raila...Uhuru amemaliza vizuri sana, vipi hiyo ya Kalonzo ungeweka na video kabisa.
Asanta mkuu. Sisi si kitu, tutapiga kelele siku nzima, mwisho wa siku hatuna uwezo huo, yote tunamuachia Mungu!Kila heri kwenu. Mungu awasaidie
Amen, naamini ninnyi wengi wenu wanajitambua na mtafanya maamuzi sahihi kwa faida ya taifa na kizazi kijacho. Tuacheni wengine tuendelee kupewa kofia na tshet ili tuwachague watawala.Asanta mkuu. Sisi si kitu, tutapiga kelele siku nzima, mwisho wa siku hatuna uwezo huo, yote tunamuachia Mungu!