Rais Kenyatta Afunga Campaign Kwa Maombi, Kalonzo Kwa Chuki

Rais Kenyatta Afunga Campaign Kwa Maombi, Kalonzo Kwa Chuki

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
774
Reaction score
723
Kalonzo wa NASA afunga campaign ya NASA akionya Watu Wa Mlima Kenya (Wakikuyu) kuwa watalipia ikiwa NASA itashika uongozi. Kweli NASA ni watu wa siasa za chuki. Upumbavu wao umekithiri.

 
yani kalonzo haongei maneno ya kuamasisha amani kabisa. ni magu wa pili full kuropoka
 
Kampeini zimefungwa leo?[emoji4]
 
Jambo hili nililiona zamani tu! Kwenye mikutano ya NASA, kawaida yao hamna cha maombi wala nini! Wanaanza tu na kukatika Ohangla. Hutaskia Raila akisema tukishika hatamu, INSHALLAH. Cha ajabu, Uhuru na urais wake, kila wakati huwa anamalizia na Mungu akipenda na anaanza na tuombe kwanza. Kwangu hii ndo ishara kuu ya kiongozi mwenye busara. God above everything! Yaani Mungu kwanza, uwe mkristo, muislamu, wa imani za asili, mjehova Wanyonyi, haijalishi. Mimi kura yangu ntaipiga nikitizama yote kwa jicho la tatu!
 
Waungwana
Tarehe 8 Aug 2017
Uhuruto wanabakia ikulu kwa maslahi mapana ya Kenya

NASA watashangaa sana IEBC wakimtangaza Uhuru kuendelea kuwa Rais wa 4 Jamhuri

NASA watapinga matokeo Supreme Court lakini itakuwa too late

Chief Economist
 
One nation under God. It gives great joy to see one is giving thanks and praise to the most high hata akiwa anafake but it soothe and honour God.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, wala sijawai dhani Uhuru anafake. Hii ndo character yake hata kabla awe rais. Tunawafahamu wale wanaopita kwa waganga kule Nigeria. Kesho yake unawaona Israel. Kwao ni maigizo tu. Juzi juzi waliwaambia wafuasi wao wasifanye ngono usiku wa kuamkia siku ya kupiga kura! Maombi ni kitu simpo sana lakini muhimu zaidi ya mengine yote!
 
Jambo hili nililiona zamani tu! Kwenye mikutano ya NASA, kawaida yao hamna cha maombi wala nini! Wanaanza tu na kukatika ohangla. Hutaskia Raila akisema tukishika hatamu, INSHALLAH. Cha ajabu, Uhuru na urais wake, kila wakati huwa anamalizia na Mungu akipenda na anaanza na tuombe kwanza. Kwangu hii ndo ishara kuu ya kiongozi mwenye busara. God above everything! Yaani Mungu kwanza, uwe mkristo, muislamu, wa imani za asili, mjehova Wanyonyi, haijalishi. Mimi kura yangu ntaipiga nikitizama yote kwa jicho la tatu!
Kila heri kwenu. Mungu awasaidie
 
Asanta mkuu. Sisi si kitu, tutapiga kelele siku nzima, mwisho wa siku hatuna uwezo huo, yote tunamuachia Mungu!
Amen, naamini ninnyi wengi wenu wanajitambua na mtafanya maamuzi sahihi kwa faida ya taifa na kizazi kijacho. Tuacheni wengine tuendelee kupewa kofia na tshet ili tuwachague watawala.
 
Kazi ya Urais ni ngumu niombeeni niweze kuwatetea wanyonge"
 
Back
Top Bottom