Ndio maana inapanuliwa zaidi kwani huoni construction works hapo kwenye pictures za mwanzo?Hamna tofauti size Ni Ile ile
I hadn't realised how massive the port it is until I took some time to look at the second picture.ni sheedah mazeee..πzege tunalikoroga usiku kuchaa...View attachment 1224712View attachment 1224713View attachment 1224714View attachment 1224715
So three berths port is massive? Ipo kama ya KigomaI hadn't realised how massive the port it is until I took some time to look at the second picture.
Mtwara Port Ni Kama robo ya Lamu.So three berths port is massive? Ipo kama ya Kigoma
Kako kadude kenu ka Mtwara Ni kadogo Sana.So three berths port is massive? Ipo kama ya Kigoma
Yaani huu upuuzi ndio wanaufananisha na bandari ya Lamu ambayo ikimaliza kujengwa itakuwa na berth 32? Ona aerial view ya bandari ya Lamu walipomaliza 'dredging'.Hapana potea mada...Mtwara
View attachment 1227749
Looks like a flower farm in NaivashaMtwara Port kutoka juu ππππView attachment 1227737
Those in Tanzania are fishing villages with fish collection points. Ports are found in Kenya.Yaani huu upuuzi ndio wanaufananisha na bandari ya Lamu ambayo ikimaliza kujengwa itakuwa na berth 32? Ona aerial view ya bandari ya Lamu walipomaliza 'dredging'.Ndio maana Mombasa huwa inafunika bandari zote za Tz kwa pamoja kwa wingi mizigo inayopita bandarini. Muda sio mrefu hii ya Lamu itaipiku bandari ya Dar.
Hako Ni kadude kadogo kanajulikana jf to πππNdio maana inapanuliwa zaidi kwani huoni construction works hapo kwenye pictures za mwanzo?
Hako Ni kadude kadogo kanajulikana jf to πππ
Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!Yaani huu upuuzi ndio wanaufananisha na bandari ya Lamu ambayo ikimaliza kujengwa itakuwa na berth 32? Ona aerial view ya bandari ya Lamu walipomaliza 'dredging'.Ndio maana Mombasa huwa inafunika bandari zote za Tz, kwa pamoja, kwa wingi wa mizigo inayopita bandarini. Muda sio mrefu hii ya Lamu itaipiku bandari ya Dar.
kwa akili zako za ldc huwezi kuelewa wewe.Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!
Vijidude hivyo vikiunganishwa kutoka hako ka Dar, tanga Hadi Mtwara hatuifikii ya Mombasa peke yake. Mombasa Port inahandle 1,000,000 containers...hebu tuvunje mbavu kwa kujumlisha za hutuo tuvijidude twenu.π€£π€£π€£
Meli kubwa zinatia nanga Mtwara na Tanga huku Lamu ikiwa bado kwenye ndoto