Rais Kenyatta akagua bandari ya Lamu

Rais Kenyatta akagua bandari ya Lamu

Hapana potea mada...Mtwara
View attachment 1227749
Yaani huu upuuzi ndio wanaufananisha na bandari ya Lamu ambayo ikimaliza kujengwa itakuwa na berth 32? Ona aerial view ya bandari ya Lamu walipomaliza 'dredging'.
Lamu-Port-under-construction.jpg
Ndio maana Mombasa huwa inafunika bandari zote za Tz, kwa pamoja, kwa wingi wa mizigo inayopita bandarini. Muda sio mrefu hii ya Lamu itaipiku bandari ya Dar.
 
EELjpXKX4EAF-mR.jpg
Ndio maana Mombasa huwa inafunika bandari zote za Tz kwa pamoja kwa wingi mizigo inayopita bandarini. Muda sio mrefu hii ya Lamu itaipiku bandari ya Dar.
Those in Tanzania are fishing villages with fish collection points. Ports are found in Kenya.
 
Yaani huu upuuzi ndio wanaufananisha na bandari ya Lamu ambayo ikimaliza kujengwa itakuwa na berth 32? Ona aerial view ya bandari ya Lamu walipomaliza 'dredging'.
Lamu-Port-under-construction.jpg
Ndio maana Mombasa huwa inafunika bandari zote za Tz, kwa pamoja, kwa wingi wa mizigo inayopita bandarini. Muda sio mrefu hii ya Lamu itaipiku bandari ya Dar.
Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!
 
kwa akili zako za ldc huwezi kuelewa wewe.
 
Meli kubwa zinatia nanga Mtwara na Tanga huku Lamu ikiwa bado kwenye ndoto

Vijidude hivyo vikiunganishwa kutoka hako ka Dar, tanga Hadi Mtwara hatuifikii ya Mombasa peke yake. Mombasa Port inahandle 1,000,000 containers...hebu tuvunje mbavu kwa kujumlisha za hutuo tuvijidude twenu.🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom