JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 12 kuanzia Mei 2022.
Rais Kenyatta ametoa tamko hilo katika hotuba yake Siku ya Mei Mosi kwenye Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi, ambapo lengo la maamuzi hayo ni kutokana na kukua kwa gharama za maisha
Kiwango cha chini cha mshahara kilikuwa Ksh. 13,500 tangu mwaka 2018.
“Mambo yamekuwa magumu sio tu kwa nchi yetu…Mamilioni ya watu dunia mzima wamepoteza maisha yao na mamilioni wengine zaidi kupoteza kazi zao,” Uhuru.
Source: Citizen Digital