JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kwani vijakazi wa nyumba nchini Tz huwa wanalipwa shilingi ngapi? Hiyo 13,500 ni mshahara wa vijakazi wa nyumba na ndio muongozo rasmi wa serikali, kuhusu mshahara wao. Wao ndio huwa wanalipwa mshahara mdogo zaidi nchini Kenya . Zamani walikuwa wanadhulumiwa sana, kisa eti waajiri wao huwa wanawapa makazi na vyakula.Kwa hiyo kawatoa 270,000/- kwenda 300,000/- ndo wanashangilia.....kumbe Kenya ni maskini tuu...
Utopolo mtupu,
Kwani vijakazi wa nyumba nchini Tz huwa wanalipwa shilingi ngapi? Hiyo 13,500 ni mshahara wa vijakazi wa nyumba na ndio muongozo rasmi wa serikali, kuhusu mshahara wao. Wao ndio huwa wanalipwa mshahara mdogo zaidi nchini Kenya . Zamani walikuwa wanadhulumiwa sana, kisa eti waajiri wao huwa wanawapa makazi na vyakula.
Unajua maana ya neno "minimum wage"., yaani wale vijakazi wa chini sana pesa yao ilikua ina anzia hiyo 270,000., sasa itakua 300,000., hii Tanzania kwa mtu wa chini ni jackpot.Kwa hiyo kawatoa 270,000/- kwenda 300,000/- ndo wanashangilia.....kumbe Kenya ni maskini tuu...
Utopolo mtupu,
Uongo bro, kijakazi Kenya anachezea 3000 - 5000 shillings per month. For you to pay 13000 to a domestic worker per month lazima you earn more than 150k pm na na nyumba Yako sio ya kukodisha.Kwani vijakazi wa nyumba nchini Tz huwa wanalipwa shilingi ngapi? Hiyo 13,500 ni mshahara wa vijakazi wa nyumba na ndio muongozo rasmi wa serikali, kuhusu mshahara wao. Wao ndio huwa wanalipwa mshahara mdogo zaidi nchini Kenya . Zamani walikuwa wanadhulumiwa sana, kisa eti waajiri wao huwa wanawapa makazi na vyakula.
Uongo bro, kijakazi Kenya anachezea 3000 - 5000 shillings per month. For you to pay 13000 to a domestic worker per month lazima you earn more than 150k pm na na nyumba Yako sio ya kukodisha.
How will they enforce it really?Govt Sets New Salary for All House Helps
The government has ordered employers in major urban centres to pay house helps and other domestic workers a minimum monthly salary of...www.kenyans.co.ke
Hiyo ilikuwa ni January 2019.How will they enforce it really?
Swali kuu hapa ni nani atakakaeongeza mshahara wa mfanyakazi wake kama yeye mwenyewe hajaongezewa na serikali inayotoa mamlaka hayo? When was the last time wafanyakazi wa serekali waliongezewa mshahara or are domestic workers employed by the govt? Vitu vingine vipo kwa makaratasi tu kuwafurahisha kina wewe!Hiyo ilikuwa ni January 2019.
It is what it is.Swali kuu hapa ni nani atakakaeongeza mshahara wa mfanyakazi wake kama yeye mwenyewe hajaongezewa na serikali inayotoa mamlaka hayo? When was the last time wafanyakazi wa serekali waliongezewa mshahara or are domestic workers employed by the govt? Vitu vingine vipo kwa makaratasi tu kuwafurahisha kina wewe!
Different interpretationsIt is what it is.
vp kuhusu 23%Asilimia 12,bonge la ongezeko
Kuna mmoja alikua anasikilizia wenzake watafanyaje ili afanye.vp kuhusu 23%
avp kuhusu 23%