Rais Kenyatta apitisha Muswada wa Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni; faini hadi Kshs. milioni 5 kwa habari ya uongo

Mkuu hii ungeianzishia thread yake.
 
Mkulu, hii si ungeanzisha siredi mpya ukaweka haya mambo humo badala ya kuyaingiza kwenye utiaji sahihi wa kenyatta huko kenya?
 
BABA WA DEMOKRASIA WA CHADEMA hahahahahqh

sindio walikuwa wanamsifia wanasema tuige sasa mbona yake ni kali kuliko yetu kwaaa kwaaa kwaaa kwaaa kwaaaa
 
I still support this move 100%

Me too, ukijaribu ku-analyse ki-undani Social networks nyingi za waswahili/Africa zina ajenda za siri - one gets an impression kwamba ni latent opposition parties in disguise - honestly. Jaribu kitoa maoni ambayo ni tofauti na leaning zao za siri, watatafuta njia aidha ya ku-pull down maoni yako au kujaribu kukotolea vitisho!!!

Tuna contribute kwenye International networks lakini wasimamizi wanapitia maoni yako kwanza kabla ya kuyabandika, wakiona maoni yako ni a little bit controversial wana-delete comments zako na kuhakikisha jina lako linabaki lakini contents zako zinakewa bandiko la kusema maoni yako yamekuwa DELETED - anajiuliza kwa nini imefutwa unapata jibu na kujirekebisha inapo bidi au una rephrase maoni yako without offend anyone; kwa nchi zetu za Afrika mambo ni tofauti kabisa vitisho mwanzo mpaka mwisho!!
 
Mmezidi. Kina okwi boban kazi yao kushinda mitandaoni na kuzusha hili na lile kila leo. Ningekuwa mkuu wa nchi ningewachinja kabisa.

Shame...ati inaweza tumika vibaya

Je wanapotumia vibaya kuchafua watu na nchi?

Shame on you

Congratulation President Kenyatta
 
Hahaha Safi sana
nakumbuka wale Vibendeara toka Kenya kutwa ilikuwa kuicheka Tanzania
oh! Kenya Rais hawezi fanya ujinga huu
mara wakenya wanajitambua Kenya itawaka moto
Yako wapi
Milioni 5 zakenya
du!
Milioni tano sawa na mil 100 za TZ, yaani wao fine mara 20 ya TZ
Hii ndio Afrika
 
kutoka "Freedom of speech" mpaka "free-doom of speech" Yana mwisho. Wazi?
 
Sheria za kuwabana Watu wasiseme ukweli kuhusu Kwakosoa Viongozi wao wa Serikali wanavyo fanya makosa yao. Mheshimiwa Rais Uhuru Kenyata unawabana wana Habari wasikukosoe Serikali yako. Hiyo Sio Demokrasia ya ukweli hiyo.
 
Nenda kasome na kaitafute hakika utaamini kuwa tanzania sheria yetu ya mitandao ni nzuri sana na hakika wakenye wanayo kazi.....mfano kusambaza za utupu ni kifungo cha miaka 10
Sheria za Tanzania na Kenya sheria za mitandao karibu zinakaribiana kuwa sawa sheria za hizi nchi mbili zinawanyima Uhuru wa kusema ukweli wana habari na Wana wa Mitandao Hakuna Uhuru wa haki wa kusema ukweli katika mitandao kwa hizi nchi mbili za Afrika Mashariki.
 
Tanzania tulipopitisha Sheria yetu , hawa Wakenya walipiga kelele na kututusi sana. Leo imefika zamu yao ya kulalama na kusaga meno, sie tumeanza kufuta machozi!
 
Tanzania tulipopitisha Sheria yetu , hawa Wakenya walipiga kelele na kututusi sana. Leo imefika zamu yao ya kulalama na kusaga meno, sie tumeanza kufuta machozi!

The high court has suspended 25 sections of the law, am pretty sure they wont see the light of day. Hapo ndipo sisi na nyinyi tuna tofautiana.
 
The high court has suspended 25 sections of the law, am pretty sure they wont see the light of day. Hapo ndipo sisi na nyinyi tuna tofautiana.
True.. Ya YZ ikishapitishwa ni hivyo. Court haiezi fanya chochote
 
Ndio unazuia maendeleo kwa sababu babako kule hana elimu. Ukimwambia Rais ana mkia kama nyumbu anakubali. Ndio kweli Waafrika ni wajinga kama wewe unayefananisha Ulaya na Africa. Unajua Ulaya wamefikia hapo baada ya kupitia machungu mangapi tena kwa miongo kadhaaa. Katika hao Waafrika wapumbavu wewe ni namba moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…