Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Are we capable to compete
with Kenyani?
Note;
An agreement is two ways
traffic.
Kenyan wanaihitaji sana TZ
kuliko TZ tunavyoihitaji Kenya.
Twendeni polepole
(Ni maoni tu lakini)
 
Kwa hiyo Uhuru Kenyatta naye anategemea Samia Suluhu ajibu wema huo kwa kuruhusu wakenya kufanya kazi Tanzania bila vibali?

Hiyo ni akili ya wapi?

Samia ajaribu aone kitakachotokea!

Hata hivyo, hii sio mara ya kwanza Kenyatta kuyasema maneno kama hayo, siyo kwa waTanzania pekee, bali kwa watu mbalimbali, lakini matokeo yake ni tofauti na maneno.

Nadhani wakati mwingine huwa anafurahi kujisikia akisema maneno ambayo uhalisia wake ni tofauti na maneno yenyewe.
Mama awe smart
 
makav live. ndio tunavuta miguu baadae tunatafuta mtu wakumbebesha lawama. this is tz
Watanzania wachache wanaharibu taswira ya nchi

Watu kutwa kelele ohh kenya kuajiriwa au kufanya kazi taabu kupata visa na vibali shida haya hivyo katoa nendeni ohhh tuwe makini hapa wakenya wana lao!!!!!

Kuna watu kazi yao kubweka tu lakini hawana lolote hata uwabebe vipi

Kenyatta kamaliza katoa offer nzuri kabisa ya kuondoa visingizio
 
Huu uwoga na tumeaminishwa na wana siasa kuwaogopa wa Kenya na unyonge ndio shida kubwa, tunawaogopa nini hasa mbona tumejaza wahindi makampuni yote na kila siku wanaingia tu. Ajira ni ushindani na ufanisi ndio inabidi tujiongeze tuwe waadilifu ili sisi ndio tuwe na thamani kwao siku waombe wa Tanzania katika makampuni yao. Tabia ya kuaminishwa kuwaogopa wa Kenya hata sijui nani aliyeileta, Mimi simuogopi mkenya kwa lipi zaidi? tuache unyonge
Nikweli kabisa
 
..EAC imeanzishwa 1996 nadhani.

..miaka 25 Watz tumekuwa tunasema twende polepole.

..Tunatakiwa tubadilike kuanzia sasa.

..Tuangalie wapi tumekosea ili turekebishe.
Ni sahihi,tunapaswa kuwa
smart katika hili.
Tuangalie tunapokosea na
turekebishe.
 
Wakenya wajanja, hata kama huna work permit, wala business visa, kazi hupati Kenya.. Mtanzania hawezi pewa nafasi na wakenya kufanya kazi.. Sisi tusiruhusu hilo, eti wakenya waje free huku, hilo litakuwa kosa kubwa sana kutokea
umeambiwa tumeruhusiwa kufanya biashara .kama we huez watz kibao wataenda fanya biashara huko .afu masuala ya kuajiriwa hata ukiwa hapa unaeza usipate hio ajira sembuse nchi ya watu....achen uoga
 
Watanzania wachache wanaharibu taswira ya nchi

Watu kutwa kelele ohh kenya kuajiriwa au kufanya kazi taabu kupata visa na vibali shida haya hivyo katoa nendeni ohhh tuwe makini hapa wakenya wana lao!!!!!

Kuna watu kazi yao kubweka tu lakini hawana lolote hata uwabebe vipi

Kenyatta kamaliza katoa offer nzuri kabisa ya kuondoa visingizio
Technically Watanzania hawana vyeti vya ku-compete na Wakenya kwenye soko la ajira.
Tusidanganyane hata kidogo, ukimsimamisha Mkenya na Mtanzania kwenye interview, atakayeajiriwa ni Mkenya.
Tanzania kama taifa tuna mengi ya kufanya kuhusu mfumo wetu wa Elimu kabla ya kuanza kushindina na Wakenya kwenye soko la ajira. My dear Tanzanians we have a long long way to go.
 
Hivi kenya kuna ajira gani kwa watanzania,hili chaka la working permit tusijaribu kuliingua kwenye biashara hapo sawa,kwenye ajira watuache kwanza kidogo
usitusemee wa tz wote wengine tuko na ajira kenya kitambo tuh na watz kibao wanaajiriwa huku
 
Hamna ubaya ila wakenya wakijazana tigo, voda na airtel wakaja TPB, NMB na CRDB wadogo zenu wote watakuwa wauza kashata na kutembeza kahawa! Msije kuanza kulia lia tu wakenya wamezidi
Hawajazani kila kampuni wewe wanajazana za kwao walizoweka mitaji yao

Ukienda kampuni mfano IPP ukikuta wafanyakazi wengi ni wa kabila ya Mengi au ndugu zake unashangaa nini? au kwa Bakheresa ukakuta ukoo wake ndio umejaa unashangaa nini? mtaji wa kwake sio kampuni ya serikali unalalamika nini

wewe kusanya kodi zako maisha yaendelee

Tanzania tunahitaji wawekezaji hata kwenye vitu vidogo mfano kupika chips kuku

Ona wapishi wawekezaji wa Chips kuku akina STEERS walipokuwa wakija kama wawekezaji watu walipiga kelele ohh mtu kweli anakuja kuwekeza eti kupika chips kuku !!! Serikali haiko serious.Haya wakaja wakashangaa graduates wamejazana kuuaza chips kuku za steers

Anzisheni na nyie za kwenu mkajazane kenya
 
watanzania mnakera hamjiamini .xx tunawafundisha nn watoto wetu ..heri kizazi kinachokuja kikute ushindan kitakua kiko fiti kuliko kizazi cha mda huu mijitu mioga kama nn...niwaambie tuh degree ya kenya ni sawa na degree ya tz ..wala wakenya hawana u special wowote....kiingereza chao ndio kinawababaisha tuh ...
 
ni kweli mkuu..
lengo lake ni tanzania iseme the same, ili pia waje wafanye biashr upande wa pili bila permit..

na sisi tukifuata hilo, wakenya watakuwa wame win
Jiwe kawaharibu akili zenu hakika.
Mnaogopa ushindani utadhani mnaishi pekee yenu kwenye kisiwa?

Tokeni ndani ya box lenye giza totoro bajameni maana dunia sasa ni kijiji.
 
Mtego huo. By so saying, he envisages 'reciprocity'

In terms of capacity (qualification) watz wengi hawana uwezo wa kuexcel kwenye white-collar jobs in Kenya.

Pia, wakenya wana roho mbaya, na ni watu ambao ni very aggressive when it comes to opportunities. Mkenya hana ile sense of 'undugu & ujamaa'. So mtz ndezi ndezi hawezi survive kwenye business atmosphere ya nchini Kenya.

Labor force ya Kenya ni very skilled! Wakenya wakimwagika hapa nchini, watz tumekwisha!

Rais Samia asiingie kwenye huo mtego wa kitoto.

-Kaveli-
Truly said my friend, Kenyans do not like each other, there is tribalism amongst them, how about poor Tanzanian can contest with Kenyan in terms of white colored jobs, business. Kenyans are also brave than Tanzanians especially in standing somewhere and expressing themselves, I Know them very well just take an example they can utilize our resources very well such thing like Tanzanite is said to be from Kenya while it's proud of Tanzania and even Kilimanjaro mountain they tend to say is located in Kenya thought it's in Tanzania, meanwhile they proclaim and use it for tourists.
 
Back
Top Bottom