Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
unakurupuka. nijuavyo mimi maisha ya tz kwa mtu wa kawaida ni bora kuliko ya kenya. nani mnyonge sasa hapa?Tuna mtihani mkubwa wa kujinasua na hii mentality ya unyonge tuliyojazwa na wanasiasa wetu. Yaani badala ya kuchangamkia opportunity na kuangalia fursa zilizopo kenya... automatically una conclude kwamba hamna kitu unachoweza kufanya kule na wao wana advantage huku? Naililia sana nchi yangu kwa hii mental slavery tuliyonayo
Mtego huu, anataka na Samia aseme hivyohivyo kwa wakenya
halafu samia hajasema hivyo wala nini, kaona mtegoNilifikiri ni mimi mwenyewe nimemstukia Uhuru.Kenya ni wajanja kweli kweli Mama Samia Suluhu asipokuwa kuwa makini anaweza kuchukiwa na WaTanganyika very soon.
Mbona hakuruhusu wakati wa utawala wa Magufuli halafu nyie MATAGA mlikuwa mnamshangilia huyo mwendazake ,Duh,Mungu alifanya kazi nzuri mno kumchuka Magufuli.Kigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Siyajui hayo 🤔 na omba omba kutoka kenya je?Nenda kipindi cha bunge huwa madada poa kenya wanajazana Dodoma kuwinda wabunge wanaume.Hilo ni tatizo kila upande sio Tanzania tu na kenya pia
Usiwe one sided...hata huko Kenya huwezi kufanya biashara kiholela...ila nakubaliana na wewe kwamba custom Union ni maneno tu...nchi zote hazina political will...ziko very protective...Piga kelele kwa Kenyatta akee😁😁😁😁😁😁
Seriously, EA hatutakiwi kuwa na barrier zozote za kibiashara. Tuna custom union ya maneno tu lakini haifanyi kazi. Tunazuia na kubania biashara za Kenya huku tukijaza masoko kwa bidhaa za India na China. EA inatakiwa kufunguka, iwe kama nchi moja. Hapo ndiyo tunaweza fikia shirikisho la kisiasa
Acha ushamba!Kashachukua gas
Hujanielewa. Ninasema tumedanganywa na viongozi wetu kwamba sisi ni wanyonge...sijui hatuna uzoefu..eti wakenya wako vizuri sana kwenye kazi na bishara na tukiwaruhusu kuja watachukua kazi na biashara zote. Sio kweli! Ni hofu tu ya kipumbavuunakurupuka. nijuavyo mimi maisha ya tz kwa mtu wa kawaida ni bora kuliko ya kenya. nani mnyonge sasa hapa?
Dah....
Inafikirisha na kusikitisha sana...
Kutoka Angle hiyo nakubaliana nawe Mkuu
No..tanzania na burundi ndio hazina political will. Tangia enzi za kikwete kenya, uganda na rwanda wamekua wako tayari kufungua mipaka yao na kuruhusu raia waingie na national ID tu bila passport..tanzania na burundi tumekua tukijivuta vuta. Mpaka wao wakaamua kuanza kwa nchi zao. Mambo ya kufuta work permits wamekua tayari kwa miaka 10 sasa...TZ na Burundi ndio tumekua tunakataaUsiwe one sided...hata huko Kenya huwezo kufanya biadhara kiholela...ila nakubaliana na wewe kwamba custom Union ni maneno tu...nchi zote hazina political will...ziko very protective...
ulishawahi kufanya biashara na mkenya? ulishawahi kuishi hata Nairobi tu? ulishawahi kufanya kazi hata za kuajiriwa na mkenya? wabongo tupo polepole sana, visingizio kibao,upeo wa kimataifa mdogo etc, hapo tunatakiwa kurekebika. ukifika Nairobi tu watu unaokutana nao barabarani wako busy wanakimbia kwenda wanakoenda, bongo unakuta mtu anaenda kazini kwake au kwenye kibarua anatembea kama muda ni shemeji yake. huu ndio ukweli. tunatakiwa kubadilika. ndio maana investors wanaependa kuajiri wakenya kuliko sisi kwasababu hizi. bora tena hata bara, ukienda zenji ndio muda utafikiri nini sijui, wako poelpole mamwinyiiiii. unyonge sio wanyonge ila wazembe.Hujanielewa. Ninasema tumedanganywa na viongozi wetu kwamba sisi ni wanyonge...sijui hatuna uzoefu..eti wakenya wako vizuri sana kwenye kazi na bishara na tukiwaruhusu kuja watachukua kazi na biashara zote. Sio kweli! Ni hofu tu ya kipumbavu
Kuna watu wakiwa wanataka kuoa wanakuwa wakarimu kupindukia na hutoa michango mingi kwa wanaooa ili baadaye na wao waje kuchangiwa fedha nyingi.Kigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Hiyo tunaita ‘Mtama kwa watoto’ ni watanzania wangapi waweza kushindana na wakenya? Ni chambo ili nasi tujiingize kichwa kichwa; utakuta hata waziri mkuu ni Mkenya. Yangu macho na masikioKigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Acha uongo we jamaa mbona kuna watanzania kibao tu wanafanya kazi Kenya nina ndugu wanafanya kazi safaricomWakenya wajanja, hata kama huna work permit, wala business visa, kazi hupati Kenya.. Mtanzania hawezi pewa nafasi na wakenya kufanya kazi.. Sisi tusiruhusu hilo, eti wakenya waje free huku, hilo litakuwa kosa kubwa sana kutokea
Amesema taratibu zifuatwe kama raia wa Kenya wafanyavyo, sio kama stend ya Magufuli, hapana, viza na working permit vimeondolewa! Na tz mama amesema sasa akuna sababu pia kwa wakenya kuwazuia hali watz wamerusiwa Kenya, kote sawa, nimependa sana!Hujamsikia kanuni na taratibu zizingatiwe lkn?