hapana watakuja uza hadi nyanya hawa wakenya wabaki tu kwaoKigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Mwendazake aliziba fursa nyingi sana!! Ni mwanzo mzuri kwa ujirani mwemaKigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
unasema watanzania kibao na unatoa mfano wa kakako/...watanzania bana..Acha uongo we jamaa mbona kuna watanzania kibao tu wanafanya kazi Kenya nina ndugu wanafanya kazi safaricom
Kwa hiyo unataka balozi zikuletee taarifa nyumbani kwako za ukafanye nini kenya? utasubiri sanaaaaaaaaaaaaembu tufikirie nje ya box, balozi zetu zimetupa information gani za opportunities zilizopo kenya kwa watanzania, na how easy kuzi access hizo infor kwa raia wa kawaida.
Nasikitika srikali yetu ilivyotutekeleza....labda sijaelewa unasikitika nn, lakn embu take moment mtu na hela zake mtanzania wa namanyele, ana details gani za aina ya biashra ya kufanya nchini kenya? hajui mtu kenya, na wala asitegemee support ya ubalozi wetu kule...
wao makejipanga. wao tayr wana information za kutosha kwa kila raia wao anayetaka kwnda kuwekeza au kufanya biashr tanzania. possibly atapewa mkopo wenye riba ndogo, atasemehewa kodi kwa upande wa kenya kwa kila bidhaa atakoyo itoa kenya kupeleka tanzania, kwa miaka fulani..
pengine, kwa mkenya atakaye kuja kuwekeza huku, moja ya mashrt ya kupata mkopo kwao, lazma aajir wakenya kiasi kadhaa katika top management, na mshahar usiwe less tha amount fulani..
sisi tumejipanga kwa hili ili tuseme ok njooni?
wao wana hakika hakuna mtanzania atakaye weza kushindana nao katika ardhi yao kibiashar labda mtanznia mwenye asili ya asia.
embu tufikirie nje ya box, balaz zetu zimetupa information gani za opportunities zilizopo kenya kwa watanzania, na how easy kuzi access hizo infor kwa raia wa kawaida.
Kwa jinsi wakenya walivyo wabaguzi,waTz wataweza kupenya kweli huko Kenya?Au Kenyatta analijua hilo ndio maana amecheza karata yake,ili na Mama Samiah aingie kichwakichwa kuruhusu wakenya huku?!!!Kigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara kenya bila kuwa na work permit wala Business visa
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara
Mkuu hakuna kitu unaweza kunifundisha kuhusu kenya. Nimeishi Eldoret, nimesoma na kuishi nairobi. Nimefanya biashara embu. Ninaifahamu kenya vizuri. na ninajua tukifungulia mipaka...tanzania tutapigika kidogo kwa awali..lakini itatulazimu tujifunze kuchangamka na hiyo itatusaidia kukuza viwango vya watu wetu.ulishawahi kufanya biashara na mkenya? ulishawahi kuishi hata Nairobi tu? ulishawahi kufanya kazi hata za kuajiriwa na mkenya? wabongo tupo polepole sana, visingizio kibao,upeo wa kimataifa mdogo etc, hapo tunatakiwa kurekebika. ukifika Nairobi tu watu unaokutana nao barabarani wako busy wanakimbia kwenda wanakoenda, bongo unakuta mtu anaenda kazini kwake au kwenye kibarua anatembea kama muda ni shemeji yake. huu ndio ukweli. tunatakiwa kubadilika. ndio maana investors wanaependa kuajiri wakenya kuliko sisi kwasababu hizi. bora tena hata bara, ukienda zenji ndio muda utafikiri nini sijui, wako poelpole mamwinyiiiii. unyonge sio wanyonge ila wazembe.
Mama Samia asije akaingia katika mtego huu tusije shangaa ardhi ruksa kumilikiwa na wakenya.Mtego huu, anataka na Samia aseme hivyohivyo kwa wakenya
kwa kauli yako ni dhahir umekir kuwa ningumu sisi kwenda kufanya biashara kule, wala kuwekeza kule.mimi sioni tatizo waje tu
Ajira sasa hivi hazipo nyingi wataziongeza na hata wakiajiriana wenyewe hakuna shida tutapata kodi zao na mishahara yao watatumia humu humu nchini kununua bidhaa ,vyakula nk
Precision air inamilikiwa na kenya airways..huwezi kulinganisha na ATCLLakini kuna figisu, nadhani utakua unajua masharti waliyopewa Precision Air kwenye route hiyo.
.... Dada hiyo mimba aliyokuachia jiwe inayokufanya usimsahau kiasi kwamba kila kitu lazima umtaje, usijali mimi ntailea,Jiwe aliharibu kila sehemu na wafuasi wake kama wewe mkawa mnashangila kama vile makasuku tu.
Mkuu kwanza sidhani kama kuna mkenya anaweza kuja kufanya biashara Tanzania , KRA ipo smooth sana kwa wafanyabiasha wao kuliko sisi, ulishawahi sikia habari ya Efd kenya? au uliwahi kusikia habari ya kufungiana akaunti kwa kesi zisizo kichwa wala miguu?ni kweli mkuu..
lengo lake ni tanzania iseme the same, ili pia waje wafanye biashr upande wa pili bila permit..
na sisi tukifuata hilo, wakenya watakuwa wame win
No..tanzania na burundi ndio hazina political will. Tangia enzi za kikwete kenya, uganda na rwanda wamekua wako tayari kufungua mipaka yao na kuruhusu raia waingie na national ID tu bila passport..tanzania na burundi tumekua tukijivuta vuta. Mpaka wao wakaamua kuanza kwa nchi zao. Mambo ya kufuta work permits wamekua tayari kwa miaka 10 sasa...TZ na Burundi ndio tumekua tunakataa
+1Huu uwoga na tumeaminishwa na wana siasa kuwaogopa wa Kenya na unyonge ndio shida kubwa, tunawaogopa nini hasa mbona tumejaza wahindi makampuni yote na kila siku wanaingia tu. Ajira ni ushindani na ufanisi ndio inabidi tujiongeze tuwe waadilifu ili sisi ndio tuwe na thamani kwao siku waombe wa Tanzania katika makampuni yao. Tabia ya kuaminishwa kuwaogopa wa Kenya hata sijui nani aliyeileta, Mimi simuogopi mkenya kwa lipi zaidi? tuache unyonge
Nina imani walioko kwenye system hawawezi kuruhusu hili.Wakenya wajanja, hata kama huna work permit, wala business visa, kazi hupati Kenya.. Mtanzania hawezi pewa nafasi na wakenya kufanya kazi.. Sisi tusiruhusu hilo, eti wakenya waje free huku, hilo litakuwa kosa kubwa sana kutokea