Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

mifumo yetu ya kodi ilio kandamizi na isiyo rafiki kwa wafanya biashar, hasa kwa miaka 5 nyuma, kwa mwendo wa mama itarekebiaka..

kufanya biashra ama kuwekeza kenya kama mtanzania hilo sahau, labda kuuza mitumba au kuimpot bidhaa zao za viwanda kuja kuzitupia huku
 
Wakenya wajanja, hata kama huna work permit, wala business visa, kazi hupati Kenya.. Mtanzania hawezi pewa nafasi na wakenya kufanya kazi.. Sisi tusiruhusu hilo, eti wakenya waje free huku, hilo litakuwa kosa kubwa sana kutokea
mkuu , wakenya sio wajanja ila wapo smart kichwani na wengi shule imewasaidia .
huku kwetu mtu level ya phd anafanya vitu hata mganga wa kienyeji anashangaa halafu unataka mtu huyu apate attention level za international?
 
Mengine magu alikua sahihi kuwanyoosha wakenya,unajua mpaka leo ndege zetu azijaruhusiwa kwenda kenya sababu kenya inahofia italeta ushindani,usidhani kama crdb haiwezi kufungua matawi kenya lkn ni vikwazo vya kikenya,rostam yuko sahihi sana
Ndio maana nasema kukiwa na political will haya mambo lazima yatelekezwe kwa vitendo na sheria sio utashi wa watu maana leo tuna Uhuru na Mama sio anakuja mwingine na siasa tofauti kuna mambo ya msingi yasiguswe hakuna mwekezaji atakuwa kuwekeza nchi yoyote ikiwa hajui kesho itakuwaje. Naamini huu uwe mwanzo mzuri kibishara sio lazima tupendane lakini tufanye biashara kwa usawa. Naunga mkono alichsema Rostam.
 
Mama angalie mtego huu ili kulinda raia wake maana Kenya hawana cha kupoteza kwenye fursa ya kila kitu hadi omba omba barabarani.
 
Nakubaliana na wewe kabisa
ila tumelala sana inabidi tuamshwe kutoka usingizi mzito, kenyans are very skilled , na kweli wana roho mbaya linapokuja swala la kazi ,kumbuka wenzetu ni mabepari by default. na ni money hungry always ,
inabidi tupate external force tuamke, ilannahisi mazingira ya kodi hapa kwetu lazima watoke mbio.
 
Acha uongo we jamaa mbona kuna watanzania kibao tu wanafanya kazi Kenya nina ndugu wanafanya kazi safaricom

Nothing you know about Nyagaus, keep shut..!! Just stay here and sleep JF..!!
 
Rostam anatetea ugali wake, anataka protectionism iendelee huku walaji wakiumia.
 
Sio unyonge ni utaratibu..kwani hao wachina na wqhindi wanakuja kwa utaratibu au matamko?
Hizi ni nchi majirani soko letu mmoja. Nachataka kusema nimesikia mara nyingi watu wanasema bado hatujawa tayari kushindana na wa Kenya katika ajira mimi siamini hilo tuko tayari utaratibu kuwekwa ni sawa lakini hatuwezi kuwa soft mataifa mengine kufanya kazi hapa ila jirani zetu tuwaogope kwa lipi? ni rahisi wewe kupata kibali kufanya kazi Kenya lakini nakuhakikishia huwezi kupata kibali kufanya kazi India wala china lakini tunawapokea na sio kitu kibaya.
 
Mtego huu, anataka na Samia aseme hivyohivyo kwa wakenya
Natumaini hatanasa, kwa sababu tiyari wao ni investors wakubwa Tanzania.
Asilogwe kutumbukia, tuangalie kwanza trend itakuwaje, ndiyo tuje na matamko ya kuwaita wakenya bila vibali.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nadhani hufahamu Mambo mengi...Kikwete ndiye alikuwa wa Kwanza kukataa Mambo hayo ..Kikwete alikataa issues on land...alikataa Mambo ya free movement of labour..na in fact siyo Kikwete tu...hakuna Rais wa TZ anayeweza kukubaliana na Hilo...tangu Nyererere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa Samia..public opinion ya Tanzania haitaki ujinga huo...Kenya nao sio wakweli..wanapenda hayo kwa kuwa wako kwenye advantage...Regional intergration always favour those who are in advantageous position...kufikiri kwamba ni TZ na Burundi ndio pekee walikataa ni kuikwe
pa Hali halisi.come and think kwanini Kenya inapigania Sana masuala haya? Why Kenya's media demonize Magufuli? Kenyans kwa upande mwingine siyo smart...kwa kutumia nguvu nyingi kwenye propaganda wanawapa nguvu Watanzania kuwa wagumu zaidi..
AQUOTE="mbeziboy, post: 38937902, member: 27276"]
No..tanzania na burundi ndio hazina political will. Tangia enzi za kikwete kenya, uganda na rwanda wamekua wako tayari kufungua mipaka yao na kuruhusu raia waingie na national ID tu bila passport..tanzania na burundi tumekua tukijivuta vuta. Mpaka wao wakaamua kuanza kwa nchi zao. Mambo ya kufuta work permits wamekua tayari kwa miaka 10 sasa...TZ na Burundi ndio tumekua tunakataa
[/QUOTE]
Thanks
 
Ona sasa.....yaani uvivu na ujinga ndio uliotujaa. Unadhani hata mh rais akiruhusu wewe utafanya nini? Kutwa mtandaoni wenzenu wanatengeneza fursa

kwani wewe humu unaposhinda mtandaoni ni ufukweni?
hivi ww ulienda shule kusomea ujinga nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…