mifumo yetu ya kodi ilio kandamizi na isiyo rafiki kwa wafanya biashar, hasa kwa miaka 5 nyuma, kwa mwendo wa mama itarekebiaka..Mkuu kwanza sidhani kama kuna mkenya anaweza kuja kufanya biashara Tanzania , KRA ipo smooth sana kwa wafanyabiasha wao kuliko sisi, ulishawahi sikia habari ya Efd kenya? au uliwahi kusikia habari ya kufungiana akaunti kwa kesi zisizo kichwa wala miguu?
Sana sana kwa kauli hiyo ya Uhuru ni kwamba anataka kuvuna Watanzania potential ambao mfumo wetu wa kodi umeshawaumiza vibaya , na kuwapa greener pastures huko kenya
kufanya biashra ama kuwekeza kenya kama mtanzania hilo sahau, labda kuuza mitumba au kuimpot bidhaa zao za viwanda kuja kuzitupia huku