Rais Kenyatta asaini sheria ya pedi bure kwa wanafunzi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesaini muswada wa sheria ambao sasa utakuwa kamili, inayoitaka serikali kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike nchini humo.

Rais Kenyatta amesaini sheria hiyo jana Aprili 10, ambayo pia inaitaka serikali kuweka mazingira salama kwa wanafunzi hao kuweza kuhifadhi pedi zao.

“Sheria ya Marekebisho ya Elimu ya Msingi, kuweka wajibu wa kutoa taulo za usafi (pedi) za kutosha na za ubora kwa kila mtoto msichana aliyesajiliwa na kujiandikisha katika taasisi ya elimu ya msingi ya umma na kufikia ujira, kwa serikali”, imesema taarifa iliyotolewa na serikali ya Kenya kwa vyombo vya habari.

Ripoti ya UNESCO ya mwaka 2016 imeeleza kwamba binti mmoja kati ya 10 kwenye nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara, anakosekana shuleni kwa siku ambazo yupo kwenye hedhi, kutokana na kukosa pedi za kujistiri.

Chanzo: Muungwana
 
Pedi zenyewe kwanza zina ubora? Mabinti wetu wasije wakageuzwa jalala la bidha feki toka ng'ambo. Tanzania wanachanja mabinti wao chanjo dhidi ya Cervical Cancer, kenya inaidhinisha matumizi wa pedi feki zinazochochea kuugua Cervical Cancer!
 
Ok, umenifungua macho, kumbe mpango wa laptop per child ulikufa ukaanza huu wa tablet per child. Vipi serikali inatoa tablet lakini inashindwa kutoa free education for all, which one is important?
 
Ok, umenifungua macho, kumbe mpango wa laptop per child ulikufa ukaanza huu wa tablet per child. Vipi serikali inatoa tablet lakini inashindwa kutoa free education for all, which one is important?

http://journals.sagepub.com/doi/abs/10.1177/1741143208095788

http://journals.sagepub.com/doi/pdf/10.1177/2158244015571488

Free secondary education in January as promised – Uhuru

All set for full free day school learning

Kenya Scholarships, 2018-2019

Primary has been free and Secondary now free baba
 
Pedi zenyewe kwanza zina ubora? Mabinti wetu wasije wakageuzwa jalala la bidha feki toka ng'ambo. Tanzania wanachanja mabinti wao chanjo dhidi ya Cervical Cancer, kenya inaidhinisha matumizi wa pedi feki zinazochochea kuugua Cervical Cancer!

Hamna siku ataibuka Mtanzania mwenye uwezo wa kujadili hizi mada kama mtu aliyebahatika kwenda shule hata kama ya sekondari.
 
Hizo pedi zina viwango?

Isije kuwa bure ghari!

Zisijekuwa kuwa chanzo cha magonjwa ya akina mama wajao?
 
I like this
 
Hamna siku ataibuka Mtanzania mwenye uwezo wa kujadili hizi mada kama mtu aliyebahatika kwenda shule hata kama ya sekondari.
Na hii iliishia wapi?
Hamna siku ataibuka Mtanzania mwenye uwezo wa kujadili hizi mada kama mtu aliyebahatika kwenda shule hata kama ya sekondari.
Zile Tablet zao tayari?
 
Hizi links zote ulizonitumia zinaonyesha maandalizi ya kuanza kutoa free primary education kuanzia January 2018, ninaomba unijulishe vipi January haijapita?, kama imepita nipe habari vipi free secondary education programme imeanza?, link tafadhali, japo Tanzania huu ni mwaka wa pili sasa tangu mpango huo umeanza.
 
Free primary started 8 years ago... Tanzania not even 1 day
 
Free primary started 8 years ago... Tanzania not even 1 day
One day kitu gani?, mimi nimekuuliza ushahidi kama Kenya imeanza kutoa free secondary education, ushahidi ulioleta ni maandalizi ya kuanza free secondary education by January 2018, ninaomba ushahidi kama huu mpango umeshaanza January 2018, acha kukimbia mada
 
New report reveals woes haunting free education in Tanzania
Like eveything in Tanzania.... "ni Mpango!!!" always... planning and no actions
Tanzania: 1.5 Million Adolescents Not in School
Education system in Tanzania continues to fail students
 
It has already failed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…