Rais Kenyatta asaini sheria ya pedi bure kwa wanafunzi

Pedi zenyewe kwanza zina ubora? Mabinti wetu wasije wakageuzwa jalala la bidha feki toka ng'ambo. Tanzania wanachanja mabinti wao chanjo dhidi ya Cervical Cancer, kenya inaidhinisha matumizi wa pedi feki zinazochochea kuugua Cervical Cancer!
Wewe una akili fupi kiasi fulani.
Naona umechanganya mambo hapa.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Pedi na kansa ya shingo ya kizazi(Cervical Cancer). Kama kuna watanzania wanaamini kuna pedi zinaleta Saratani hao watakuwa mataahira, na wakenya watazidi kutudharau sana.

Chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi ipo duniani kwa zaidi ya miaka 30 sasa, majaribio ya mwanzo kabisa kutolewa kwa Kenya yalifanyika zaidi ya miaka 10 iliyopita. Kwa Kenya hiyo chanzo imekuwa ikitolewa kwenye hospitali nyingi miaka mingi sana kwa kulipia pesa kabla hata serikali ya Kenya kuja kuanza kuitoa bure.

Kuna mambo tunaweza kujaribu kushindana na Wakenya lakini sio kwenye Elimu, Uchumi, Afya na Demokrasia. Katika hayo wakenya wako mbali mno. Wakenya wanapambana kufikia na kuzipita nchi kama South Afrika na Ghana lakini sio Tanzania. Tanzania bado sana.
 
Wewe ni kichaa kabisa, lete ushahidi kama Kenya wanatoa chanjo ya saratani ya kizazi bure, acha kuropoka kama mwendawazimu, Kenya hawatoi chanjo bure, wala hawatoi elimu ya sekondari bure kama tunavyotoa sisi huku.
 
Wakenya ni wazuri sn Ku implemente Sera tunazo zungumza sisi tz
Naomba niwaambie ndugu zangu hoja hii iliingia bunge la tz lakini ilipingwa sana hadi na wabunge wa kiume.bnafis niliskitika sana....but if u don't have a research report shut up..

Kwa taarifa tu ni kwamba moja ya chanzo cha ukatili wa kingono Kwa mabinti ni htaji La pedi
Pili km kuna kitu knaharib taaruma ya mabinti na kusababisha msongo wa mawazo ni kukosa pedi
..tatu km kuna kitu knawaforce mabinti wadogo kujiingiza ktk ngono ni htaji la pedi
Serikali inapo pitisha sheria ya ugawaji pedi mashuleni inaokoa taifa Zima
MUNGU WABARIKI WAKENYA KWA HILI
 
Tunaomba utuletee hizo research zilizofanyika na kutoa matokeo hayo uliyohoodhesha hapo juu, nor research nor right to speak, punguza kutumia maneno ya mtaani bila ushahidi.
 
Ok, umenifungua macho, kumbe mpango wa laptop per child ulikufa ukaanza huu wa tablet per child. Vipi serikali inatoa tablet lakini inashindwa kutoa free education for all, which one is important?

Ndugu, ukistaajabu ya firauni utayaona ya Viongozi wakenya,
Hawa jamaa huwa sijui akili zao ziko makalioni, maana ni wakurupukaji sijawahi ona,
Tazama hawa watoto ndio serikali imeona hitaji lao ni Laptops.
Thanks God I wasn't born in Kenya

Attachments

  • IMG_20180411_212623_632.JPG
    IMG_20180411_212623_632.JPG
    72.2 KB · Views: 29
Wewe una akili fupi kiasi fulani.
Naona umechanganya mambo hapa.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Pedi na kansa ya shingo ya kizazi(Cervical Cancer). Kama kuna watanzania wanaamini kuna pedi zinaleta Saratani hao watakuwa mataahira, na wakenya watazidi kutudharau sana.

Chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi ipo duniani kwa zaidi ya miaka 30 sasa, majaribio ya mwanzo kabisa kutolewa kwa Kenya yalifanyika zaidi ya miaka 10 iliyopita. Kwa Kenya hiyo chanzo imekuwa ikitolewa kwenye hospitali nyingi miaka mingi sana kwa kulipia pesa kabla hata serikali ya Kenya kuja kuanza kuitoa bure.

Kuna mambo tunaweza kujaribu kushindana na Wakenya lakini sio kwenye Elimu, Uchumi, Afya na Demokrasia. Katika hayo wakenya wako mbali mno. Wakenya wanapambana kufikia na kuzipita nchi kama South Afrika na Ghana lakini sio Tanzania. Tanzania bado sana.
Another Illiterate Goat.
 
Ok, umenifungua macho, kumbe mpango wa laptop per child ulikufa ukaanza huu wa tablet per child. Vipi serikali inatoa tablet lakini inashindwa kutoa free education for all, which one is important?
Free primary ili kuwa proposed na moi..alafu kibaki aka implement..yani kitambo sana..bwahaaaa..km mlianza juzi ni nynyi
 
Huyu jamaa ninahisi ni mzanzibar, hakili hamna kabisa kichwani.
Mbna hukumuita mtanzania..mnapenda sana kuwatelekeza wazanzibar...na hku kando mnajisifia na hoteli zao...what a shame...maendeleo yote tanzania bara..
 
Back
Top Bottom