Rais Kenyatta atangaza visa 16 vipya vya Corona, idadi sasa yafika 158 na vifo 6. Afunga Kaunti za Nairobi, Kilifi, Kwale na Mombasa

Kweli kabisa ona marekani ilivyodhalilika , wale waliokua wanaona marekan ya inahadhi mpaka kuabudiwa wamebaki mdomo Kama bundi hafadhar China kaonyesha uimara hakuna wakumfikia duniani
Hapa ndio kipimo cha kupima udhahifu au uimara wa serikali zetu, wanasema shujaa hujulikana katika vita, na uongozi bora hupimwa katika kipindi cha matatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mafisadi wa kikenya bado wanatafuta fedha toka mashirika ya kimataifa. Walalahoi wa Mathare na Kibra ndio watakaopigika kisawasawa.
 
Kweli kabisa ona marekani ilivyodhalilika , wale waliokua wanaona marekan ya inahadhi mpaka kuabudiwa wamebaki mdomo Kama bundi hafadhar China kaonyesha uimara hakuna wakumfikia duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli corona imenifanya nione hizi super power ni mbwembwe nyingi na propaganda wakiwa hawana majanga imagine USA inayumba kwa kulaza na kutibu wagonjwa laki tatu tu, paka wabadilishe viwanja vya mpila kua hospitali ndo waweze, vifa tiba kama ventilators masks kutoka nje Marikini imepora meri ya vifa tiba ambae elikua ya ujerumani na spain duh eti super power labda kwenye kurusha mabomu kwenye nchi masikini ila hamna kitu Mungu ndo kila jambo. Raia wao million 10 hawakua na savings paka wapewe na serikali pesa ya chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani ,sisi tunamjua sana Mungu ndo maana rais wetu ni kiongozi wa malaika mtarajiwa
Toka atoe hiyo speech hajakanyaga kanisani! Akili za kuambiwa changanya na za kwako!
 
Haiwezekani ,sisi tunamjua sana Mungu ndo maana rais wetu ni kiongozi wa malaika mtarajiwa
Toka atoe hiyo speech hajakanyaga kanisani! Akili za kuambiwa changanya na za kwako!
 
Mimi nimekuambia mara nyingi kuwa mimi si hohe hahe kama wewe. Ninaishi maisha isiyo na bugdha.
 
Kweli kabisa ona marekani ilivyodhalilika , wale waliokua wanaona marekan ya inahadhi mpaka kuabudiwa wamebaki mdomo Kama bundi hafadhar China kaonyesha uimara hakuna wakumfikia duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dawa za magojwa ya binadamu haziwi developed over night na hii ni pandemic, ni ugonjwa mpya,kuwa giant haina maana kwamba you have solutions of everything in hand
 
Kwhyo nchi za africa tumeshawapiga bao wwnzetu wa europe na amerika
Hahaa!!we endelea kuongea vitu hta bila ya kufikiria tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema, subiri baada ya miezi miwili kama chanjo haijapatikana ndio unaweza kusema hivyo.

USA infection is 300,000, number of deaths is 5000 = 1.5%

Kenya infections 158, number of deaths 6
= 3.7%

Bado tumewapiga bado?

Eti mnataka kuwe na vifo Elfu sita Afrika wakati maambukizi yote Afrika hayajafika hata 2500. Tumieni akili kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
April 6, 2020
Nairobi, Kenya

COVID-19 IN KENYA: Uhuru announces 21-day lockdown
Uhuru Kenyatta atangaza amri ya kutosafiri nje au kuingia katika Nairobi Metropolitan inayohusisha maeneo haya ya kaunti ya Nairobi na viungo vyake (metro) ktk ramani hapo chini:

BREAKING: Nairobi Metropolitan Area now under 21-day containment - President Uhuru



"The Nairobi Metropolitan Area is designated as Nairobi City County, part of Kiambu County up to Chania River Bridge (Thika), including Rironi, Ndenderu, Kiambu town; part of Machakos County up to Athi River, including Katani; part of Kajiado County including Kitengela, Kiserian, Ongata Rongai and Ngong town; and all other areas as set out in the Order," the president said in his address to the nation. The map of Nairobi Metropolitan area is shown below:



Nairobi County (Red) surrounding Nairobi Metro area (Green)
Source : KENYA CitizenTV

Earlier on in March 2020 so-called rumours circulating in Nairobi...
 
April 6, 2020
Nairobi, Kenya

President Uhuru's full speech on the partial lockdown of four counties

Source : KTN News Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…