Rais Kenyatta atangaza wagonjwa wapya 7 wa Corona, idadi ya waathirika yafikia 343

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya 7 wa COVID19 na jumla ya maambukizi nchini humo imefikia 343 wakati idadi ya wagonjwa waliopona nchini humo hadi sasa ni 98 na waliofariki dunia ni 14

Aidha amesema muda wa zuio la kusafiri ndani na nje ya Nairobi, Klilifi, Mombasa na Kwale umeongezwa kwa siku 21 huku agizo la wananchi kubaki ndani kuanzia saa moja jioni hadi saa 12 asubuhi nalo likisogezwa mbele kwa wiki 3

Pia amewashukuru Watumishi wa Afya na wale wa Usalama kwa kuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya Coronavirus na kusema Serikali haitochelewa kuchukua tahadhari zaidi ili itahitajika kufanya hivyo

========
President Uhuru Kenyatta has announced the country has recorded seven new coronavirus cases in the last 24 hours.

Speaking on Saturday from State House, Nairobi, the President announced the extension of the cessation of movement in and out of Nairobi, Mombasa, Kilifi and Kwale and Mandera by another 21 days.

In accordance with the advice of the National Emergency Response Committee on the Coronavirus Pandemic, Uhuru also said the nationwide 7 pm to 5 am curfew has been extended for another 21 days.

Kenya's death toll from the virus remains at 14.

“We extended our appreciation to the health and security personnel standing at the forefront of the war against the coronavirus pandemic. While we mourn the 14 who have succumbed, we celebrate the 98 recoveries we have seen so far,” he said.

The President warned that the government will not delay in escalating the measures put in place if the need arises.

"Kenyans let us unite and fight the pandemic together, as a Government, we don't want to announce more strict measures for Kenyans but if need be, we will not hesitate," Uhuru said.

He said the counties of Mandera, Kwale, Kilifi and Mombasa have registered an increase in the number of infections and if this trend does not reverse, more stringent measures will be taken in consultation with the respective county governments.

The President said the country has been spared the more terrible human cost so far because the Government followed the advice of medical experts and acted quickly to stop this disease spreading and killing large numbers of Kenyans.

"I thank the millions of Kenyans for showing discipline and responsibility. Your attitude is saving thousands of families from grieving for those who would otherwise be lost to the coronavirus," he said.

Uhuru said the security services will upgrade their alert and response measures in every border area.

"This is to ensure that porous borders and security threats do not compromise our response to this pandemic," he added.

The President thanked the National Assembly forapproving his tax relief measures.

"Thanks to our legislators, we will now ensure that employees have more of their earnings available to them to spend and reduce the corporate tax burden as an incentive to the business enterprises," he added.

Uhuru was joined in the briefing by Governors Hassan Joho (Mombasa) Salim Mvurya (Kwale) and Amason Kingi (Kilifi).

The governors reiterated the national government's call on self-hygiene, hand washing and social distancing in order to curb further spread of the virus.

The President also thanked Parliament for approving the government's tax relief measures.

"We will now ensure employees have more of their earnings for them to use," he said.
 
M7 ndio kiboko. Hapa kwetu tusitishane ki vile bado bado ila sijapata picha ikichanganya.....
 
Uku kwetu tushamaliza tatizo la corona na hatuna case mpya.....

Ongeza tangawizi na limau
Hii kitu muda si mrefu itakuwa adimu na bei itapanda
Uku kwetu tushamaliza tatizo la corona na hatuna case mpya.....

Ongeza tangawizi na limau

Muda si mrefu vitapanda bei

Image_4433.jpg
Image_3741.jpg
 
Kenya acheni kuiga Mabeberu mtaua Wananchi zenu
 
Corona haisumbui mwafrika kama vile mzungu, mwafrika nikama ng'ombe wale wa kienyeji/kiasili, hagonjeki na kufa ovyo ovyo licha ya kunyonywa damu na tick, lakini ng'ombe wa gredi akiumwa tu na tick asipotibiwa anafariki, ndio wazungu sasa. Inawezekana kuna watu wamepata na corona na wakapona bila kujua.
 
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya 7 wa COVID19 na jumla ya maambukizi nchini humo imefikia 343 wakati idadi ya wagonjwa waliopona nchini humo hadi sasa ni 98 na waliofariki dunia ni 14

Aidha amesema muda wa zuio la kusafiri ndani na nje ya Nairobi, Klilifi, Mombasa na Kwale umeongezwa kwa siku 21 huku agizo la wananchi kubaki ndani kuanzia saa moja jioni hadi saa 12 asubuhi nalo likisogezwa mbele kwa wiki 3

Pia amewashukuru Watumishi wa Afya na wale wa Usalama kwa kuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya Coronavirus na kusema Serikali haitochelewa kuchukua tahadhari zaidi ili itahitajika kufanya hivyo

========
President Uhuru Kenyatta has announced the country has recorded seven new coronavirus cases in the last 24 hours.

Speaking on Saturday from State House, Nairobi, the President announced the extension of the cessation of movement in and out of Nairobi, Mombasa, Kilifi and Kwale and Mandera by another 21 days.

In accordance with the advice of the National Emergency Response Committee on the Coronavirus Pandemic, Uhuru also said the nationwide 7 pm to 5 am curfew has been extended for another 21 days.

Kenya's death toll from the virus remains at 14.

“We extended our appreciation to the health and security personnel standing at the forefront of the war against the coronavirus pandemic. While we mourn the 14 who have succumbed, we celebrate the 98 recoveries we have seen so far,” he said.

The President warned that the government will not delay in escalating the measures put in place if the need arises.

"Kenyans let us unite and fight the pandemic together, as a Government, we don't want to announce more strict measures for Kenyans but if need be, we will not hesitate," Uhuru said.

He said the counties of Mandera, Kwale, Kilifi and Mombasa have registered an increase in the number of infections and if this trend does not reverse, more stringent measures will be taken in consultation with the respective county governments.

The President said the country has been spared the more terrible human cost so far because the Government followed the advice of medical experts and acted quickly to stop this disease spreading and killing large numbers of Kenyans.

"I thank the millions of Kenyans for showing discipline and responsibility. Your attitude is saving thousands of families from grieving for those who would otherwise be lost to the coronavirus," he said.

Uhuru said the security services will upgrade their alert and response measures in every border area.

"This is to ensure that porous borders and security threats do not compromise our response to this pandemic," he added.

The President thanked the National Assembly forapproving his tax relief measures.

"Thanks to our legislators, we will now ensure that employees have more of their earnings available to them to spend and reduce the corporate tax burden as an incentive to the business enterprises," he added.

Uhuru was joined in the briefing by Governors Hassan Joho (Mombasa) Salim Mvurya (Kwale) and Amason Kingi (Kilifi).

The governors reiterated the national government's call on self-hygiene, hand washing and social distancing in order to curb further spread of the virus.

The President also thanked Parliament for approving the government's tax relief measures.

"We will now ensure employees have more of their earnings for them to use," he said.
Asante Beth kwa habari.
 
Corona haisumbui mwafrika kama vile mzungu, mwafrika nikama ng'ombe wale wa kienyeji/kiasili, hagonjeki na kufa ovyo ovyo licha ya kunyonywa damu na tick, lakini ng'ombe wa gredi akiumwa tu na tick asipotibiwa anafariki, ndio wazungu sasa. Inawezekana kuna watu wamepata na corona na wakapona bila kujua.
[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendelee kuchukua tahadhari, nashukuru sana uongozi wa nchi hii, tunapewa taarifa kama zilivyo, hamna kuficha au mikwara, au mikanganyiko ya amri za viongozi, kwamba kila huyu na lake.
Rais Uhuru ameongoza kwenye mstari wa mbele huku akitumia ushauri wa kisayansi, japo amehamasisha maombi ila amekua akiwekeza kwenye kuskliza ushauri wa kitaalam maana kwa sisi waumini tunajua hekima zote na busara na maarifa yote yanatoka kwa Mungu.
Hauwezi ukamshika simba mwenye njaa kidevu huku ukiomba Mungu amzuie asikutafune, itabidi utumie maarifa aliyokupea Mungu uchomoke nduki huku ukiomba asikufikie na kukukamata. Kwa hivyo kuomba Mungu azuie corona huku umekaa kwenye klabu unapiga beer na machangudoa pembeni, hamna utofauti na hilo la kumshika simba kidevu huku ukiomba Mungu....utaliwa tu.
 
Hivi haya magazeti mtayalilia yaombe msamaha kama mlivyofanya kwa Citizen TV?
Yaani nchi yenye visa 4361 ndiyo ituambie sisi kuhusu crisis? Au wanaongea kichina, maana crisis kwa kichina ina maana mbili.
 
Back
Top Bottom