Rais Kenyatta atangaza wagonjwa wapya 7 wa Corona, idadi ya waathirika yafikia 343

Kunya country katika ubora wenu!
 
Huwezi kutangaza kama hakuna maambukizi.
Sina taarifa rasmi.

Huyo jamaa tunamwelewa yuko kwa kazi maalumu.
Mnavyojidanganya lakini!!! Inatia huruma. So one day uamke utangaze 87 new cases then the next few days ujidanganye eti huna maabukizi mapya! Congratulations
 
Huwezi kutangaza kama hakuna maambukizi.
Sina taarifa rasmi.

Huyo jamaa tunamwelewa yuko kwa kazi maalumu.
Mshaanza kuwazika wafu usiku huku hapa wasema hamna visa?
 
Jana nimelete uzi wa habari hii na ukaichangia pia, mara wakaubwaga chini ya maji!!
Naona unahangaika sana nyang'au!! Vipi mzazi wako ndiyo alizikwa hapo nini? Pole sana boss!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…