Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Somaliland, Puntland na autonomous states zote za Somalia zimekataa kumpokea Rais Farmajo wanasema hawataki afike kwao.. Huu ni wakati wa kampeni za kura ya Rais , Baada ya farmajo kukataliwa kwa hayo maeneo ya Somalia ndo sasa anatafuta uchokozi na Kenya.. Lengo lake lilikua anatarajia Kenya ikasirike na ijipige kifua na kuonyesha Somali ubabe.. Hii ingepelekea wasomali waguswe pabaya na kuwa na hisia kali didhi ya Kenya.... Farmajo angetumia hio chuki ya kuunganisha wasomali akijionyesha kwamba ni yeye pekee ndo akipigiwa kura tena anaweza kuwalinda wasomali kutoka kwa Kenya.....Aache unafiki kuingilia mumbo ya ndani ya nchi ya Somalia ndo kunasababisha haya kuanzia ku-support Jubaland na pia kuiba Territory ya Somalia Indian Ocean. Mkianza vita na Somalia ndo mwisho wenu maana Wabunge wote wa North eastern wanaiunga mkono Somalia including Duale! Don't be surprised the whole Arab world throw a support behind Somalia! Uliza kilichoitokea Ethiopia walipokuwa wakipigana na Eritrea!
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
Nchi ambazo ni autocratic hua lazima Rais ujionyeshe yeye ni strong man ambaye hatishwi na nchi yeyote, Hii strategy tumeiona kwa Ethiopia na pia kwa Uganda.... Ikifika wakati wa kampeni za urais hua tunawaona wanaanza kuchokoza Kenya ili kuonyesha wananchi wao kwamba wao ni wababe na Kenya haiwawezi.
Sasa farmajo amekula huu, hakupata lolote kutoka Kenya ,hata wasomali wenzake wamemuona kwamba amefanya move ya kijinga.... ikabidi aombe msamaha na kujifanya yeye ni mpenda amani...
------
Somaliland has rejected a planned joint visit by Somali president Mohamed Abdulahi Farmaajo and Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed.
A high-ranking official in Somaliland had confirmed a proposed visit to Hargeisa by Abiy and Farmaajo on the initiative of the PM. Hargeisa is capital of Somaliland, an autonomous region of Somalia.
Somaliland rejects plans by Farmajo to visit the breakaway republic