BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa.
Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya fujo kama ikitokea wakapoteza.
“Tunajua kuwa presha ya wagombea wetu zinapanda kila siku, kazi ya kutengeneza taifa ni ya kupokezana kizazi, nawatakiwa wote kila la kheri, tuwe na umoja huu hata baada ya uchaguzi,” - Kenyatta.
Source: Citizen Digital