Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kuna clip YouTube, huyo dada waliyemtangaza mgonjwa, anasema yeye mzima na kisharudi Marekani kwa familia yake, na hajawahi kuugua CORONA...anashangaa kaingiaje kwenye propaganda...wanakuja kuzuia wakati wamesha ukwaa
Weka linkKuna clip YouTube, huyo dada waliyemtangaza mgonjwa, anasema yeye mzima na kisharudi Marekani kwa familia yake, na hajawahi kuugua CORONA...anashangaa kaingiaje kwenye propaganda...
Everyday is Saturday.................... 😎
Hawa wakenya wameshapata mahali pa kuanzisha mtaji: kwani huwajui walivyo?Kuna clip YouTube, huyo dada waliyemtangaza mgonjwa, anasema yeye mzima na kisharudi Marekani kwa familia yake, na hajawahi kuugua CORONA...anashangaa kaingiaje kwenye propaganda...
Everyday is Saturday.................... 😎
At least maraisi wanaojielewa wanachukua hatua mapema...UPDATE: Government suspends learning in the country, all primary and secondary students to be home by 18th March.
All universities, colleges to close by Friday 20th March ~ President Uhuru Kenyatta decrees
President Kenyatta : Suspension of travel of all persons coming from any country with reported cases into the country. #coronavirusinKenya
Mbona unapanic kiasi hicho?, hayo maneno yamesemwa na wakenya wenzenu kule KoT, hawa wanachofanya ni "copy&Paste", actually wakenya ndio wenye uwezo mdogo sana wa IQ, haiwezikani waiseme vibaya nchi yao wenyewe kiasi hichoComments za baadhi ya Watanzania kwenye huu uzi zinahuzunisha, mkiambiwa mna low IQ mnalalamika, wapumbavu mnafikiria $1b ya ruzuku inayotolewa igawanywe baina ya mataifa yote inaweza kukidhi hasara tutakayoingia kwa kufunga biashara zote na viwanja vya ndege, nchi inaingia kwenye "lockdown", tutapata hasara sana ukilinganisha na hivyo vipesa vinavyowapa nyege.....pambavu zenu.
Najua CCM mumepata sababu za kuzuia makusanyiko ya upinzani. Niliona taarifa sehemu mliwapa kichapo sana akina Mdee, nyie noma, hunikumbusha Kenya ilivyokua enzi za mapambano ya akina Wangare Maathai, walivumilia mapigo kama hayo hadi wakaikomboa nchi kutoka kwa udhalimu wa chama tawala.Hawa wakenya wameshapata mahali pa kuanzisha mtaji: kwani huwajui walivyo?
Acha kuharibu uzi muhimu na wenye mambo muhimu kama haya kwa kuingiza mambo ya hovyo. Ninyi ndio itawasaidia zaidi japo kuituliza nchi yenu, tayari ilikua imeshakatika vipande viwili, wanaotaka Rutto ajiuzulu na wanaomtetea, japo Corona itawaunganisha kwa sasa.Najua CCM mumepata sababu za kuzuia makusanyiko ya upinzani. Niliona taarifa sehemu mliwapa kichapo sana akina Mdee, nyie noma, hunikumbusha Kenya ilivyokua enzi za mapambano ya akina Wangare Maathai, walivumilia mapigo kama hayo hadi wakaikomboa nchi kutoka kwa udhalimu wa chama tawala.
Yaani wewe utazeeka huku ukizurura zurura kwenye mtandao wa wabongo kupiga porojo zako za kikenya; unafikiri utafanikiwa sio?Najua CCM mumepata sababu za kuzuia makusanyiko ya upinzani. Niliona taarifa sehemu mliwapa kichapo sana akina Mdee, nyie noma, hunikumbusha Kenya ilivyokua enzi za mapambano ya akina Wangare Maathai, walivumilia mapigo kama hayo hadi wakaikomboa nchi kutoka kwa udhalimu wa chama tawala.