Rais Kenyatta: Tumepata wagonjwa wawili zaidi wa Corona, shule zifungwe, hakuna kwenda nje ya nchi kwa siku 30 na walioingia wajitenge siku 14

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
KENYA: Rais Uhuru Kenyatta amethibitisha kuna wagonjwa wengine wapya 2 wa #CoronaVirus

Atangaza kuzuia watu kusafiri nje ya nchi kwa siku 30 kuanzia leo

Aagiza Taasisi za Elimu kufungwa kuanzia kesho; waliokuja Kenya ndani ya siku 14 zilizopita wajitenge

======
UPDATE: Government suspends learning in the country, all primary and secondary students to be home by 18th March.

All universities, colleges to close by Friday 20th March ~ President Uhuru Kenyatta decrees

President Kenyatta : Suspension of travel of all persons coming from any country with reported cases into the country. #coronavirusinKenya
 
Kama kweli basi Wakenya wako serious, wamedhamiria kupata mgao wao tokea UN itangaze $1Bn, kwa countries affected by CORONA...

Everyday is Saturday................... 😎
 
wanakuja kuzuia wakati wamesha ukwaa
Kuna clip YouTube, huyo dada waliyemtangaza mgonjwa, anasema yeye mzima na kisharudi Marekani kwa familia yake, na hajawahi kuugua CORONA...anashangaa kaingiaje kwenye propaganda...

Everyday is Saturday.................... 😎
 
Weka link
 
Hivi mnafikiria $1b ya ruzuku inayotolewa igawanywe baina ya mataifa yote inaweza kukidhi hasara tutakayoingia kwa kufunga biashara zote na viwanja vya ndege, nchi inaingia kwenye "lockdown", tutapata hasara sana ukilinganisha na hivyo vipesa
 
Kuna clip YouTube, huyo dada waliyemtangaza mgonjwa, anasema yeye mzima na kisharudi Marekani kwa familia yake, na hajawahi kuugua CORONA...anashangaa kaingiaje kwenye propaganda...

Everyday is Saturday.................... 😎
Hawa wakenya wameshapata mahali pa kuanzisha mtaji: kwani huwajui walivyo?
 
Kusitisha shughuli za mikusanyiko ya watu sasa huku kwetu hadi upepo ufahamike unaelekea wapi lilikuwa jambo la kipaumbele sana.

Tusipoangalia si mrefu tutaanza kulaumiana.
 
UPDATE: Government suspends learning in the country, all primary and secondary students to be home by 18th March.

All universities, colleges to close by Friday 20th March ~ President Uhuru Kenyatta decrees

President Kenyatta : Suspension of travel of all persons coming from any country with reported cases into the country. #coronavirusinKenya
At least maraisi wanaojielewa wanachukua hatua mapema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi Tanzania tunasubiri mpaka wafe kumi ndo tushituke na tuanze kuchukua hatua....

Serikali amkeni.....

Mnajua kabisa kuwa nchi yetu ina upungugu mkubwa sana katika maeneo yote kuanzia kwenye utaalamu hadi uchumi.....

Kinga ni bora zaidi kuliko tiba. Chukueni hatua za tahadhari sasa kabla hujavamiwa....!!
 
Comments za baadhi ya Watanzania kwenye huu uzi zinahuzunisha, mkiambiwa mna low IQ mnalalamika, wapumbavu mnafikiria $1b ya ruzuku inayotolewa igawanywe baina ya mataifa yote inaweza kukidhi hasara tutakayoingia kwa kufunga biashara zote na viwanja vya ndege, nchi inaingia kwenye "lockdown", tutapata hasara sana ukilinganisha na hivyo vipesa vinavyowapa nyege.....pambavu zenu.
Mbona unapanic kiasi hicho?, hayo maneno yamesemwa na wakenya wenzenu kule KoT, hawa wanachofanya ni "copy&Paste", actually wakenya ndio wenye uwezo mdogo sana wa IQ, haiwezikani waiseme vibaya nchi yao wenyewe kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wakenya wameshapata mahali pa kuanzisha mtaji: kwani huwajui walivyo?
Najua CCM mumepata sababu za kuzuia makusanyiko ya upinzani. Niliona taarifa sehemu mliwapa kichapo sana akina Mdee, nyie noma, hunikumbusha Kenya ilivyokua enzi za mapambano ya akina Wangare Maathai, walivumilia mapigo kama hayo hadi wakaikomboa nchi kutoka kwa udhalimu wa chama tawala.
 
Acha kuharibu uzi muhimu na wenye mambo muhimu kama haya kwa kuingiza mambo ya hovyo. Ninyi ndio itawasaidia zaidi japo kuituliza nchi yenu, tayari ilikua imeshakatika vipande viwili, wanaotaka Rutto ajiuzulu na wanaomtetea, japo Corona itawaunganisha kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua CCM mumepata sababu za kuzuia makusanyiko ya upinzani. Niliona taarifa sehemu mliwapa kichapo sana akina Mdee, nyie noma, hunikumbusha Kenya ilivyokua enzi za mapambano ya akina Wangare Maathai, walivumilia mapigo kama hayo hadi wakaikomboa nchi kutoka kwa udhalimu wa chama tawala.
Yaani wewe utazeeka huku ukizurura zurura kwenye mtandao wa wabongo kupiga porojo zako za kikenya; unafikiri utafanikiwa sio?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom