Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855

JK na mmiliki wa hoteli ya kitalii ya Bilila Lodge Kempinski Bw. Ali Al Bwardy wakifungua kitambaa kuashiria kuzinduliwa kwa hotelui hiyo leo asubuhi. Hoteli hiyo ya nyota tano ina vyumba 80. Chini wakipeana mikono baada ya uzinduzi rasmi



JK akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA Modestus Lilungulu(kulia) wakati wa sherehe za ufunguzi wa Hoteli mpya yenye hadhi ya kimataifa ya Bilila Lodge Kempinski katika mbuga ya wanyama ya Serengeti leo asubuhi.Katikati ni mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Ali Al Bwardy

sehemu ya umati uliohudhuria sherehe hizo leo asubuhi

JK akiongea wakati wa ufunguzi wa hoteli hiyo

Mandhari ya hoteli mpya ya kitalii ya Bilila Lodge Kempinski iliyofunguliwa na JK katika mbuga ya Serengeti leo asubuhi.


mmemuona bwan BARWADY?

===================
 
Last edited:
Ukishaumwa na nyoka, hata ukiona jani unastuka. Mimi nahisi ufisadi tu!
 
mungu wangu mungu wangu mbona unatuacha... inusuru hii nchi.
 
Hii mbona ni investment muhimu hapa nchini? wa TZ tuachana na hizi negative attitude tumekua kilakitu tunaonewa, kwanini hatujiamini?
 
Hii mbona ni investment muhimu hapa nchini? wa TZ tuachana na hizi negative attitude tumekua kilakitu tunaonewa, kwanini hatujiamini?

Aaaaggggggggggggggggggggggggggghhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!
 
Bilila Lodge Kempinski | Home



Rate details
EUR 880.00

per room and night

Check rate details for tax information
Reserve this room Presidential Villa 2 Bedrooms
Room details Presidential Villa 2 Bedrooms
Rates
Best Available Rate

Rate details
EUR 8,000.00

per room and night

Check rate details for tax information
Reserve this room Two Bedroom Villa
Room details Two Bedroom Villa
Rates
Best Available Rate

Rate details
EUR 2,800.00

per room and night
 
Maisha bora kwa kila Mtanzania.

Naona baada ya first term, asilimia 90 ya Wa-Tz watakuwa wana uwezo wa kwenda 7 days vacation na kulala kwenye hizo hotel.

"Kilimo Kwanza"
Sijui mashamba mangapi yatafunguliwa katika term ya pili.
 
hii ndiyo hotel iliyowakatalia kamati ya bunge kukagua nini sijui, hebu mwenye info zake azimwage uwanjani, inasemekana mkulu pia ana share humo au umbeya?
 


Hivi Panama zao look cheap as hell

Hata Panama yangu ina good quality

inawezekana walizipata bure sehemu
 
Hii mbona ni investment muhimu hapa nchini? wa TZ tuachana na hizi negative attitude tumekua kilakitu tunaonewa, kwanini hatujiamini?
Sio kila invenstment ni kupata. Historia imeonyesha kuwa hawa 'investors' wakishirikiana na viongozi wetu huchukua zaidi kuliko wanavyowekeza. Sina haja ya kurudia hapa 'investors' wangapi ambao baadae walijulikana kuwa ni wezi wa mali yetu. Kelele unazoziona hapa ni za tahadhari, sio kukataa investments. Learn to read between the lines and make your points from a contextual perspective.
 
Je ujenzi wa hoteli hii umewashirikisha watanzania? Na je huyu mwekezaji anafikiria nini kuhusu wananchi wa hapo Serengeti? Hapa namaanisha shule, hospitali au any "recreation centers"?
 
ushindani siku zote ni kitu kizuri na hizi hoteli tulikuwa hatunazo huko nyuma ndiyo maana utalii ulikuwa unaishia nchi jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…