Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

BILILA LODGE,ipo ndani ya hifadhi ya Serengeti,inasemekana ujenzi wake ulikataliwa na wanamazingira,lakini kukawa na nguvu fulani kutoka ndani ya serikali kwamba iruhusiwe kujengwa angalau vyumba 20 (proposal yake ilikuwa vyumba 100).Lakini mpaka sasa ina vyumba zaidi ya 75 na inaweza kuongezwa pia,lakini zaidi ni kuwa imejengwa kwenye mkondo wa dhahabu.Sasa je kwanini,ijengwe wakati wanamazingira waliigomea,pamoja na kulazimishwa na kupewa kibali kujengwa room 20 ni nguvu gani waliyonayo mpaka wakaongeza hadi kuzidi room 70,na kwanini asijenge sehemu nyingine tofauti na ukanda wa dhahabu? Na ndo maana nikauliza mmiliki wake ni nani hadi awe na nguvu hivi.Kwa wanaojua naomba kusaidiwa au kusahihishwa pia.

Kama unawafahamu wamiliki wa kempisky hao ndo wenye bilila ambao pia kwa sasa wanataka kujenga tena 77 hoteel.
 
Kama unawafahamu wamiliki wa kempisky hao ndo wenye bilila ambao pia kwa sasa wanataka kujenga tena 77 hoteel.
Yote 9 lakini kwanini Balali (marehemu Gavana wa Benki Kuu ) huwa anakuja kupumzika Kempisky?
fuatilieni hata thread zipo humuhumu kuwa alifikia Kilimanjaro Hotel baadaye akaenda kwa Tudor Bilionea wa USA huko Mugumu?
Hiyo km yupo na Mkuu sijui ila malori yote kayauza ....huko mbele tena naogopa maana naona mizimu

Balali yupo mkuu anavuta vumbi la tanzania au Oxygen ya Obama. Akifa kweli ndo mtaambiwa alikua anaishi wapi.
 
Yote 9 lakini kwanini Balali (marehemu Gavana wa Benki Kuu ) huwa anakuja kupumzika Kempisky?
fuatilieni hata thread zipo humuhumu kuwa alifikia Kilimanjaro Hotel baadaye akaenda kwa Tudor Bilionea wa USA huko Mugumu?
Hiyo km yupo na Mkuu sijui ila malori yote kayauza ....huko mbele tena naogopa maana naona mizimu

Mkuu huhurumii kucha na meno ama wewe umri umekwenda?
 
Aliyekuwa anamiliki Kilimanjaro nasikia ndie mmliki wa bilila

Ni kweli kuna mwarabu wa dubai ambaye ndiye owner wa zamani kempinsk ya zanzibari,bilila na hiyo ya dar..alikosana na kempinski juu ya mkataba ndio maana akaamua kuvunja mkataba na kempinski ktk hizo hoteli zote tatu..
 
tatizo hatunaga hisa wala madaraka ya uendeshaji hata kodi hatuwezi chukua zaidi ya PAYE na SDLmm,, Corporate tax relief ya uwekezaji.
 
sOMETIME INATAKIWA LUWA PRESIDENTKUWA LOW PROFILE KWA EVENT ZINAZOHUSU POTENTIAL TAX PAYERS. WASHAURI WA RAISI ANGALIENI HILI. AKILETA MWEKEZAJI AKIINGIA KINGI NI KODI KWENDA MBELE NDIO TUTAISHI. TUKIWA NA URAFIKI TUTAVUNA MABUA. LEVEL FIELD PLAYGROUNG MI KESHO NAFUNGUA ICE CREAM KIOSKI.
 
Mzee wa kutembea na mikasi ya uzinduzi...yan unasafiri toka magogoni hadi Bilila kufungua hotel ya vyumba 80?? hakuna priorities bongo..
 
Back
Top Bottom