Nimesikia imejengwa eneo la utata kidogo lakini huo tunaita tetesi tuu.. Mi nataka nimjue mmliki haswa wa hii Hotel maana nimesikia leo kuwa jamaa yetu yule hamiliki mali yoyote hapa nchini zaidi ya kuwa kiongozi mkubwa....
Usiweke Hoja kama Huna Hoja!!
Toa hoja kama una hoja kama imechakachuliwa kaa nayo tuuu...
Hili ni swali wala si udhandiki kama MS atakavyofikiria!!
Safi bro, ila nimesikitishwa kwa kutoariji mtanzania hapo, naona kama huyu ni mfilipono fulani hivi?
Watanzania wangapi wanaweza kuafford kwenda hapo na kupumzika?
Safi bro, ila nimesikitishwa kwa kutoariji mtanzania hapo, naona kama huyu ni mfilipono fulani hivi?
Hata bure sipataki
Hata mini nitaogopa... ila wangeweaka utaratibu wa kuwafundisha wazawa.inategemeana watanzania wangapi wana uelewa au wana ujuzi wa massage, massage ni ngumu sana, hivyo kama hujui mfumo wa damu wa mwili unaweza kumkanda mtu ukaziba mishipa yote ya damu au kumsababishia maumivu na kumuua
mkuu upo? shwari mwana? hii nimeiweka maksudi, labda kwenye massage menu mtalii hakuorder tanzania massage, au local massage, nadhani unajua aina maarufu za massage duniani, na authenticity zake, ukitaka indian, thai au chinese foot massage ili upate authentic flavor lazima iwe na ladha ya kihindi, kithai au kichina kwelikweli
Teacher asalam aleikhum!! upoooo?
tunashukuru kwa kushare experience yako, nakutakia kila la kheri upate hela uende tena na familia yakoMimi nilikuwa hapo Jmosi na Jpili yaani tar 18-19 Juni. kuna watanzania wengi sana ila upande wa massage wenyewe wanaita SPA ni wafilipino tu kwa sababu ndo wataalam wa hii kitu, watz wanajua lakini kwa sababu hii kitu ni international ndo maana jamaa kaajiri experts from Ufilipino.
Kwa kweli ni pazuri sana, me nilipatazari tu ila natafuta hela ya kujilipia mwenyewe niipileke familia.
Mimi nilikuwa hapo Jmosi na Jpili yaani tar 18-19 Juni. kuna watanzania wengi sana ila upande wa massage wenyewe wanaita SPA ni wafilipino tu kwa sababu ndo wataalam wa hii kitu, watz wanajua lakini kwa sababu hii kitu ni international ndo maana jamaa kaajiri experts from Ufilipino.
Kwa kweli ni pazuri sana, me nilipatazari tu ila natafuta hela ya kujilipia mwenyewe niipileke familia.
Kuna rate za wabongo na za wageni, ila nikuanzia dola 299 mpaka dola 10,000 kwa ile presidential suite.Tupe rate zake mkuu, manake vitu vingine kwa mtazamo wake tu tunaogopa hata kufikiria mara mbili. Hela ya kuunga unga si unaijua ndugu yangu?