Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 795
BILILA LODGE,ipo ndani ya hifadhi ya Serengeti,inasemekana ujenzi wake ulikataliwa na wanamazingira,lakini kukawa na nguvu fulani kutoka ndani ya serikali kwamba iruhusiwe kujengwa angalau vyumba 20 (proposal yake ilikuwa vyumba 100).Lakini mpaka sasa ina vyumba zaidi ya 75 na inaweza kuongezwa pia,lakini zaidi ni kuwa imejengwa kwenye mkondo wa dhahabu.Sasa je kwanini,ijengwe wakati wanamazingira waliigomea,pamoja na kulazimishwa na kupewa kibali kujengwa room 20 ni nguvu gani waliyonayo mpaka wakaongeza hadi kuzidi room 70,na kwanini asijenge sehemu nyingine tofauti na ukanda wa dhahabu? Na ndo maana nikauliza mmiliki wake ni nani hadi awe na nguvu hivi.Kwa wanaojua naomba kusaidiwa au kusahihishwa pia.
Yote 9 lakini kwanini Balali (marehemu Gavana wa Benki Kuu ) huwa anakuja kupumzika Kempisky?Kama unawafahamu wamiliki wa kempisky hao ndo wenye bilila ambao pia kwa sasa wanataka kujenga tena 77 hoteel.
Nchi ishaposwa hii
Yote 9 lakini kwanini Balali (marehemu Gavana wa Benki Kuu ) huwa anakuja kupumzika Kempisky?
fuatilieni hata thread zipo humuhumu kuwa alifikia Kilimanjaro Hotel baadaye akaenda kwa Tudor Bilionea wa USA huko Mugumu?
Hiyo km yupo na Mkuu sijui ila malori yote kayauza ....huko mbele tena naogopa maana naona mizimu
Aliyekuwa anamiliki Kilimanjaro nasikia ndie mmliki wa bilila
Balali yupo mkuu anavuta vumbi la tanzania au Oxygen ya Obama. Akifa kweli ndo mtaambiwa alikua anaishi wapi.