phocas adrian
Member
- Mar 18, 2015
- 76
- 35
Angemteua wema sepetu afadhali! Ila lazima kabla shemeji hajastaafu lazima spea-tu= sepenga ale udc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ataendelea kuwa mkuu cha chuo hicho baada ya october 25?
Bado hajachoka kuteua? Shemeji kaondoka na lichama lake hilo. Asante kwa mtaji ulotupa
Ni Mzee na ashakula chumvi ya kutosha, mbona CCM majembe mengi! Kuna Steve Nyerere, Juliana Shonza, Wema S. Nk
Rais JMK amemteua Spika Mstaafu Mh. Pius Msekwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Msekwa mwenye umri wa unaokadiriwa 80+ atashikilia cheo hicho kwa miaka 5 kuanzia 2nd, May 2015.
======================
Rais JMK amemteua Spika Mstaafu Mh. Pius Msekwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Msekwa mwenye umri wa unaokadiriwa 80+ atashikilia cheo hicho kwa miaka 5 kuanzia 2nd, May 2015.
======================
ukisikia uwiiii..ujue jiwe lime mpata.
Umri wa kisheria wa kuhudumu kama mkurugenzi ni miaka 21 mpaka miaka 70; sasa huyo wa miaka 80 effectiveness yake ikoje?
Yaani unataka kusema ni uvunjifu wa kanuni au taratibu za ajira.Mkuu wa Chuo mimi nadhani hata ukiwa over 80yrs haina neno...mkwani kazi yake ni kuwavika kofia wahitimu
baada ya kuponda kuondoka kwa lowasa kapewa shavu