Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

afadhali yajk anaahidi hatekekezi kuliko pembe anayeahidi nakfanya kinyume
 

Hivi unaweza kunisaidia kunielimisha kazi ya balozi za kisasa za karne hi ni nini?

Naona umewataja Mwanaidi na Liberata. unaweza kusema wamefanya nini cha ajabu wanekane competent. Mfano tunaona wenye Wiki leas dcument balozi w USA alivyokkuwa ana looby kampuni ya BOEING(ya USA) ipate tender ya kuuza ndege na sio AIRBUS. Je huyo mwanaidi kawezesha hata Chain supermarket moja iweze kuwa na brand ya kahawa au chai kutoka Tanzania.

Au ndio tunamaansihwa sio kazi ya ofisi za balozi kumproote kampuni na bidhaa i za nchi zao. ?
Ubalozi wa karne hii unatakiwa kuwa zaidi ya Diplomacy.

Kalaghe anaonekana kijana kiasi au?
Sijui swali lako linalenga nini au linahusiana vipi na kile nilichoandika. Ila kwangu Suala sio ujana wa Kalaghe, January Makamba, Myika Au zitto kbawe au Uzee wa Marmo kuwa baozi wa Tanzani China , USA, Southa afrika.........

Issue ni sera gani na na role ya ofisi zetu balozi huko nje zinatakiwa ku-achive. Je ofisi za balozi ya china USA na Saouth africa katika monthly report wanatakiwa watume taarifa za nini. Siasa tu? au uchumi,bishara, utalii na fursa mbali mbali. Ndio maana nikauliza kwa nini tuna mwambata wa kijeshi Southa africa na hta USA lakini hatuna mwambata wa uchumi,biashara utalii au teknolojia.........

Wajapan wana takwimu za Tanzania za kuyasaidia makampuni ya kijapan kuuza used car nakufanya biashara Tanzania. Je ubalozi wetu wa japan wana hata Takwmu kujua kwa mwaka wajapan wanatumia Ton ngapi za chai au asali. Ubalozi wetu japan unajua zinanunuiwa kutoka nchi gani. Piga simu ubalozi wa wa tanznia nchi yeyote ulizia info kama hizo. Jibu jepesi utaambiwa sio kazi yetu.

Lingaisha majibu kama hayo na lobby ya baozi wa USA tanzania kutaka boeing ipewe tender na ATC kuwapiga bao Airbus.
 

Inawezekana Membe hausiki katika hili, kwa kuwa katika mahafari fulani aliwahi kusema kuwa, mwaka ujao mhe. Rais atateua MABALOZI VIJANA! sasa OLD GUARD tena!!
 
Kaa la Moto sasa itakuwa kila Mwanamke anayepewa Uongozi ni kimada wa kiongozi flani hasa Mkulu, hapana tunawadhalilisha mama zetu. Tuwahukumu on their works kwa Taifa na sio mengine ambayo FACTS za ku-prove ukweli wake.
 
Nashindwa nianzie wapi kumtafakari JK!
Natamani nitapike sasahivi!
 
uteuzi wa marmo kwenda china ni wa kijinga..
 
Kaa la Moto sasa itakuwa kila Mwanamke anayepewa Uongozi ni kimada wa kiongozi flani hasa Mkulu, hapana tunawadhalilisha mama zetu. Tuwahukumu on their works kwa Taifa na sio mengine ambayo FACTS za ku-prove ukweli wake.
Mkuu hivi kati ya "kufanya hivyo" na "kuzungumzia hivyo", kipi kati ya hayo ni "kuwadhalilisha mama zetu" zaidi?

Sema tu waandishi wengi ni makanjanja na pia uhuru wa habari si huru kuhivyo, otherwise nakubaliana na Kaa la Moto kuwa time will tell...
 

Hi Jo
Uelewa wako ni mkubwa, we miss you [your ideas] in this country!
Tusilaumu "kaniki" hiyo ndiyo rangi yake!! I explain:
You explained very well. Tanzania na hasa Africa viongozi wetu wanaongozwa na emotions za revolution theories, kuiga, nationalism, hawako creative etc Lakini Nationalism ili iwe kweli unabidi uwe na charisma; hicho ndicho viongozi wetu hawana (hawana charisma). Nyerere hadi charisma. Mwinyi alikuwa hana charisma, Mkapa alikuwa hana charisma, Kikwete hana charisma. Halafu hizi serikali za ma Rais wote zinafanya kazi kama ku-copy alivokuwa anafanya Nyerere; nothing creative/new. At least Nyerere alikuwa mwaminifu.

Katika kuchagua Balozi kuwakilisha nchi, ofcourse Balozi ni political appointee, balozi siyo professional diplomat, huteuliwa na Rais. Balozi anaweza kutokea kokote kule, iwe mfanyabiashara, manager wa kampuni, waziri, mbunge etc tu kama atawakilisha National interests za nchi. Tanzania as a country knows its own natinal interests Rais ndiyo pivotal. Marmo kateuliwa na Raisi still we are seeing that our National interests are not well conveyed by a man like Marmo. Je tunaye mwingine zaidi ya Marmo? Who is that? Sioni kama Marmo is a problem kama Rais amemwelekeza mambo ya kufanya akienda China.

Suala jingine tumeshindwa kutofautisha National interests zimewakilishwa na mtu yupi kwa maelekezo ya nani na kwa mujibu gani. Ubalozi unaongozwa na sheria za Tanzania, vile vile kuna wafanyakazi; wafanyakazi wengi wa ubalozi almost ni Diplomats; with a background on International relations. Umewahi kufika ubalozi wa Tanzania ukauliza wana department gani? Kazi kubwa ni utoaji wa Visa. Hamna sustantial issues kwenye economy. Kuna Militaly attache huyu yupo siri siri tu; nobody knows what he does, ukiuliza wnasema for National interes.

Jo, we are very stupid; a nation as old as Tanzania should know its priorities, we as a National are 50 years old, ask Kikwete if he can pronounce the word AGOA or if he knows all exports to China are exempted from Chinese import taxes then you will know the answers. WE have bunch of worms who are calling themselves a giovernment.

Huntsman, Locke, Bush Senior all had no Diplomatic backgrounds but represented USA interests in China.

Jo come back these worms are going to absorb everything!!
 

Again, unaposhindwa kuelewa ni kwamba vigezo vyetu vya kuchagua balozi haviwezi kufafana na marekani hata kidogo!

Tuache kujishaua!

Hatuna hizo standards...
 
Mushi wapi uta-draw the line na hii ishu ya mama zetu na Uongozi wa taifa? I mean ni lazima uanzie Serikalini mpaka kwenye vyama vyetu vya siasa, tuwahukumu kwa kazi zao kwa taifa please!
 
Jamani hili jambo limenikera sana na amewateua hao mabalozi kiurafiki kwa sababu wote ni CCM na wote waliangushwa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge mwaka 2010 kwani si mnakumbuka hata Basil Mramba pamoja na kashfa zote na kesi ya ufisadi hata kabla haijaisha akampa awe balozi wa Tanzania nchini Sweden na wengine akawapa ukuu wa mikoa kama vile Joel Bendera,Mwantumu Mahiza na wengine wengi,hii nchi inaongozwa kiurafiki kabisa sasa watanzania wenzangu mnaonaje kwa hili?
 
Rahisi wenu analipa fadhila mwacheni wasije kumfanyia mengine mengi yakuzorotesha uongozi wao
 
kama wananchi wa manyara walimkataa ameshindwa kuwawakilisha vyema Dodoma(bungeni) ije iwe kuwawakilisha watanzania wote kule uchina? JK amecheza na akili zetu kiasi cha kutosha sasa tuseme basi....amekuwa mtu wa haraka kutimiza ahadi kwa marafiki zke lkn sisi wanyonge hatutimiziwi ahadi zetu. kumbuka kipindi anawaambia wana CCM waliokosa kuchaguliwa ndani ya chama "MSIWE NA WASI KUNA KAZI NYINGI NDANI NA NJE YA CHAMA WOTE MTAPEWA KAZI" ndo ujinga tulio letewa wa akina Marmo.
 
I think majina yanapendekezwa na Membe kisha anampelekea yule babu mwenye mvi pale ikulu kisha yule anampa rais lakini badou anaingiza majina ya watu wake pia....kama anavyofanya kwenye uteuzi wa positions zingine serikalini

Ni sawa kabisa ulivyosema. Ila uamuzi wa mwisho bado ni wa JK, na anaweza kuongeza au kupunguza yeyote bila ya kushauriana na yeyote pia. Katiba inamruhusu.

Kwa uteuzi wa Marmo kwenda China, pigo kubwa litakuwa kwa Zanzibar. Marmo ni muasisi wa G55 na sera za u-Tanganyika.
 


Thanks for this useful comment maadamu invisible ameondoa hii acha mm niiweke mwenyewe kuweka msisitizo!

Siasa ya CCM imezeeka jamani tukubalini vijana kuungana bila kujali itikadi otherwise wao ndo hivyo wana phase out bila kujali what our future will look like.

Hapo walichokuwa wanaangalia ni vipi wataendelea kutoa rushwa kwa wale ambao wakiachwa wataleta division kwenye kugawiana madaraka ndani ya CCM basi taifa was not their priority.

Ukiitumia uchina na urafiki wetu wa sikunyingi ambapo tungeweza kunegotiate deals nyingi kwa manufaa ya pande zote mbili ungeshangaa sisi ndiyo tungenyanyuliwa na China tukafikia level yao kwa yale ambayo tumekuwa nyuma yao; nasi tukiwasaidia wao kuendelea ku-service uchumi wao kwani we have most of input they want for their industries. Lakini wapi bwana ndugu zetu hao wa CCM wako enzi za 1947 bado hata baada ya wengine umri wao kuwapigia indicator wamechelewa bado wanandoto ya kutawala!
 
Ubalozi una maana kwa nchi zenye makoloni na ubepari uliobobea, wanawatumia kulinda interests zao, na siyo sisi ambao ndo makoloni yenyewe...
Asante Mkuu, hii sentensi ni moja tu lakini inaujumbe mkubwa sana. I wish nchi nyingi za Africa na haswa yetu tungejua maana ya Ubalozi. Sisi mabalozi wetu wanakwenda kutafuta wawekezaji, na kuwatafutia scholarship watoto wa vigogo pamoja na biashara.
Bull shit!
 

Christ,

..naomba kuweka historia sawa hapa. suala hili nimelisoma ktk mahojiano aliyofanya Mzee Joseph Warioba na gazeti la rai au raia mwema.

..Jaji Warioba alikuwa anazungumzia madai kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa hasikilizi ushauri, au "haambiliki."

..suala la uteuzi wa Chediel Mgonja na pingamizi la Sokoine ni tofauti na kilichotokea hapa.

..ubunge wa Mgonja ulitenguliwa kwasababu mahakama ya rufaa ilimhukumu kwa vitendo vya rushwa.

..mahakama ya rufaa ilimuona Mgonja amekosa sifa za kuwa kiongozi na ilimhukumu asigombee nafasi yoyote ile ktk kipindi cha miaka 5 au 10[sina uhakika hapa].

..hoja ya Edward Sokoine, nadhani ilitokana na ushauri wa mwanasheria mkuu Joseph Warioba, ilikuwa kwamba uteuzi wa Mgonja kuwa mkuu wa mkoa ingemfanya Raisi[Mwalimu Nyerere] aonekane anaidharau mahakama.

..kuna baadhi ya watu wanaamini kwamba mahakama ya rufaa haikumtendea haki Chediel Mgonja. kikundi hicho kinakwenda mbali zaidi na kudai hata Mwalimu Nyerere alikuwa akiamini hivyo.

..baada ya miaka 5 kupita Mwalimu alimfupishia Chediel Mgonja adhabu yake, na hatimaye wananchi wa wilaya ya Same wakamrudisha tena bungeni ktk uchaguzi uliofuatia.
 
Kaa la Moto sasa itakuwa kila Mwanamke anayepewa Uongozi ni kimada wa kiongozi flani hasa Mkulu, hapana tunawadhalilisha mama zetu. Tuwahukumu on their works kwa Taifa na sio mengine ambayo FACTS za ku-prove ukweli wake.

Huo ni ujinga wa baadhi ya waliomo humu. Nadhani hawa walikuwa wanapitwa na wasichana darasani ndiyo maana wana chuki namna hii.

MALE CHAUVINIST P*GS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…