Tuna mifano mingi sana!! South Korea hatuna balozi kabisaaa tuna kaki-consullar office kanakoendeshwa tena mkorea, ukienda kuulizia kitu wala hupati msaada wowote. Balozi wa japan ndo anacover hadi South Korea lakini sidhani kama alishawahi kufika.
Wakati South Korea wanatoa scholarships nyingi za graduate kwa wabongo, kuna makampuni mengi yanafanya kazi saizi tanzania mengine tunayaita ni ya kichina lakini ukweli ni kuwa ya kikorea bado hatuna ubalozi. Kampuni moja linalofanya utafiti wa mafuta pwani ya Bahari ya hindi juzi juzi Pindi kaja kufungua ile meli! wala hashtuki kuwa hatuna ubalozi. Only in Tanzania these happens!