Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!


Nawasiwasi na wewe inawezekana kuna kitu mnagombania kati yako na Batlida...lol
 
Iv na mi ningepigwa chini ubunge kumbe ningekula shavu ka Marmo. Daaah ushwaiba nchi hiii balaaa. Sawa baba Ridhi kwa kendeleleza ushwaiba. Hongera kilaza Marmo. Wasalimie China cjui au Ubelgiji cjui!
Kwa CCM huwa hakuna makapi, pamba ikichambuliwa mbegu zinakamuliwa mafuta mashudu yanakuwa chakula cha ng'ombe, ng'ombe akinya mavi yanakuwa mbolea and recycle goes on...
 
Kwa CCM huwa hakuna makapi, pamba ikichambuliwa mbegu zinakamuliwa mafuta mashudu yanakuwa chakula cha ng'ombe, ng'ombe akinya mavi yanakuwa mbolea and recycle goes on...
Hata Slaa alikuwa makapi ya CCM..just to remind you
 
Batilda kapelekwa Kenya ili iwe rahisi kwake kuhudhuria kesi ya uchaguzi maana inategemewa kwisha 2014.

ni kweli hata mimi nimeliona hili. Amewekwa karibu kwa makusudi ili asiwe mbali na Arusha.
 
kwa hao wengine tujadili ila kwa batilda Mmm kitu cha mzee hicho!!hivyo kwa sasa safari zitahamia kenya baada ya nyie wenyewe kupiga kelele khs safari za marekani subirini kidogo•
 
The same names the same Tanzania, the same outcome!
 
ccm mtajuuuuuuuuuta kumfahamu jk. huyu jamaa watu walidhani anakuja kuibeba ccm badala yake kaja kuizika!hv kweli watu ambao wamekataliwa na wananchi unawateua kwenda kumwakilisha nani?ok, u r z prezdent.......
 
Du shemeji Batilda kala shavu, alafu jirani tu, tena anampumulia kamanda Lema ubavuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…