Rais Kikwete; Kaza Mkanda, Bana Matumizi, Punguza Ukubwa wa Serikali

Naomba Wasaidizi wa Kikwete wampelekee hii makala yangu, labda anaweza kupata suluhisho la kuwa lipa Wafanyakazi na kutuepusha umwagaji damu!
 
Na sie wa pembeni jamani tunachangia kubariki matumizi mabaya ya Serikali. Wengi tunaona wtu wanavyotumia zaidi ya kipato chao, Mikataba ya bei ya juu kwenye halmashauri na Taasisi mbalimbali lakini hatunyooshi kidole. Mfano Halmashauri ya Kinondondi hivi karibuni imeingia mkataba na mkanadarasi kujenga kajiko cha kuchomea takataka(Incinerator) kwa Shs. milioni sita kwa ajili ya hospital ya kata moja wakati Mhandisi Mmoja Mtaalam akiri kwamba gharama yake hata Shs. Milioni Mbili haiwezi kufikiwa huku uongozi wa Hospitli ya kata hiyo wakilazimishwa kutia saini makataba ambao wao sio waliingia na mkanadarasi kwa pesa zinazokusanywa Hospitalini hapo. cha kushangaza wananchi wanalalamika tu " Ahh jamani hapa wamepitiliza". basi hapo imeisha na pesa zinaondoka. katika hali hii kama hamna" Whistle Blowers" tutafika?
 


Asante sana Mkuu mchango wako mzuri
 
Naomba Wasaidizi wa Kikwete wampelekee hii makala yangu, labda anaweza kupata suluhisho la kuwa lipa Wafanyakazi na kutuepusha umwagaji damu!

Tatizo hapa ni kwamba most of wasaidizi wa Kikwete ni wale waliokuwa wakimsifia na kumpigia debe in the last election. Rev how do you expect the "Apoologists" kumpelekea makala hii??? Am not just being negative but skeptical as to what we have already seen in this administration.

Sifa kubwa ya wasaidizi ambao ni apologists ni kumake sure hawamuudhi bwana wao, they will alwayz do lap dancing according to his tune no matter what.

As for this one ni bora kuitoa gazetini na kuiandika kama barua ya wazi kwa muheshimiwa mkulu!
 
Lakini itakuwa ni aibu kama rais hawezi hata kuingia JF na kusoma shauri mbali mbali zinazotolewa na wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…