Rais Kikwete na Juliana Shonza katika ubora wao

Rais Kikwete na Juliana Shonza katika ubora wao

Basi sawa
Screenshot_2019-09-15-22-42-46-164_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
View attachment 1208576View attachment 1208577View attachment 1208578Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakiwa kwenye matembezi ya kilomita tano pamoja na wanariadha wengine wakati wa ufunguzi rasmi wa mbio za nyika za Brazuka Kibenki 2019 zilizofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mbio hizo zilizoshirikisha taasisi 18 za kibenki zilizinduliwa rasmi na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Kikwete kwenye viwanja vya michezo vya JK Park zikiwa na lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya matibabu ya moyo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Enenden dunian mkaujaze ulimwengu
 
Back
Top Bottom