Rais Kikwete tarehe 11/12/2012 alifungua jengo la hosipitali Mbagala Zakhiem, leo limechakaa

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu!

Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
 
Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Wafanye maintanance.
 
Picha ziko wapi?

Tutaaminije sasa kama ni kweli
 
ngojeni miaka kadhaa mtaona balaa kwny hii miradi inayojengwa kwa 'force accounting '

Majengo yamepambwa kwa marangi rangi, tiles na grill za kuzugia lakini ni kama biskuti kwny ubora

kuanzia miradi ya wakati wa JPM na hii ya Fedha za Covid 19 iliyojengwa na wababaishaji wanaoitwa mafundi wa eneo la mradi

tumepuuza kutumia Wakandarasi Wenye taaluma tukawekeza kwny Siasa za wingi wa majengo kwa bei chee bila ya kuhakiki ubora wake
 
Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu!

Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Hizo zinaitwa expansion jointi kama zile za hostel za magu
 
The thing is Who cares !!!?? (It is a very short period of time for things to be like this).
 
Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu!

Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Mkuu tupiako basi kapicha sisi kina Thomaso tukuamini na tujiridhishe.
 
The thing is Who cares !!!?? (It is a very short period of time for things to be like this).
It is true, a grass thatched takes more than 30 years before being discarded this huge block building has lived only 10 years and lookes like a 90 or more years old! Had it been my power I would have screwed all those who took part in building it, nisingejali kama ni mamantilie aliwauzia chakula mafundi, mafundi nisingejali kuwa ni vibarua wameajiliwa na kontrakta na ikiwezekana aliyeleta simenti na mchanga saiti, wote tupa ndani.
 
Back
Top Bottom