Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wafanye maintanance.Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Hapana, linatakiwa libomolewe na kujengwa upya.Wafanye maintanance.
Picha ziko wapi?Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Mpaka wakumbushwe kama hivi !! Uwajibikaji ni mdogo sana !! Kazi na Bata !!Wafanye maintanance.
Pengine bajeti na kujali maana hata shule za sekondari na za msingi zimechakaa balaa no one cares.Mpaka wakumbushwe kama hivi !! Uwajibikaji ni mdogo sana !! Kazi na Bata !!
Ubadhirifu wa Mali za Umma ndio life style yetu !!Hapana, linatakiwa libomolewe na kujengwa upya.
Ubadhirifu kila kona ndio maana pesa siku zote hazitoshi kwenye Maendeleo !Pengine bajeti na kujali maana hata shule za sekondari na za msingi zimechakaa balaa no one cares.
Hizo zinaitwa expansion jointi kama zile za hostel za maguJengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu!
Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Mkuu tupiako basi kapicha sisi kina Thomaso tukuamini na tujiridhishe.Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu!
Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
Sawa ila si rahisi kupiga picha ndani ya jengo ambalo si lako ila ukiweza pita huko kama nilivyofanya mimi.Mkuu tupiako basi kapicha sisi kina Thomaso tukuamini na tujiridhishe.
It is true, a grass thatched takes more than 30 years before being discarded this huge block building has lived only 10 years and lookes like a 90 or more years old! Had it been my power I would have screwed all those who took part in building it, nisingejali kama ni mamantilie aliwauzia chakula mafundi, mafundi nisingejali kuwa ni vibarua wameajiliwa na kontrakta na ikiwezekana aliyeleta simenti na mchanga saiti, wote tupa ndani.The thing is Who cares !!!?? (It is a very short period of time for things to be like this).
Ehee! Kama ulikuwapo, huenda walikuwa wanachanganya zege kwa mkono.Atakuwa fundi Maiko
Nami nilidhani hivyo ila mtaalamu fundi Maiko kasema hizo tunazodhani nyufa ni shokamzoba husaidia jengo lisipasuke wakati wa tetemeko.Hizo zinaitwa expansion jointi kama zile za hostel za magu