Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Pengine tumeitwa misukule na wakenya na wanyarwanda na waganda kwa kukaa kimya kuhusu malipo ya laki tatu kwa wabunge wa bunge la katiba.
Leo natangaza kama mtumishi wa MUNGU Kama mpakwa mafuta nasema kama tulivyoomba wiki moja mnajimu akatangulia mbele za haki.
Usiku huu nimemwacha mke chumbani namwomba MUNGU akupe nguvu usithubutu kuongeza hata 500 kwenyev300,000 ya posho za wabunge na kama itatokea na MUNGU asikuache mwaka huu.
Siombi kwa ubaya naomba kwa machozi nikiwalilia walimu wanaolipwa laki tatu kwa mwezi na mpaka leo awajapata mishahara yao leo anapewa mtu mmoja laki tatu.
Kama waungana nami sema na iwe hivyo.
Amen.