Rais Kikwete ukipitsha ongezeko la posho bungeni na Mungu akutwae tu mwaka huu!!!


Mtumishi,

Imani bila matendo haina maana. Maombi yako yaelekeze kuwawezesha walimu kujitambua ili wapambane na mfumo unaowanyonya!
Wanyonyaji ni wachache sana na ni rahisi kuwashinda kama wanaonyonywa wanajitambua!
 
Mimi binafsi nataka walipwe 100,000 tsh tu inatosha. Mchanganuo ni: 50,000/= Hotel, 30,000/= na 20,000/= balance, coz usafir wa ndani upo, sasa ukiwapa 300,000 maana yake hutaki wajadili bali walale kwa hangover,
Zinazobaki peleka kwa wenye mahitaji kada zingine. Km wao wanadai kuwa wanafanya shughuli ya kitaifa basi kuna watu wanafanya shughuli kubwa na ya kitaifa kuliko wao, mf- walimu, kwahy waache kudai.malipo zaidi bali yapunguzwe ili kuwe na uwiano, hata madaktari pia wanahitaji posho za kutosha. Km ni sawa Nipeni Like, km nimekosea basi nipo tayari kukosolewa.
 
Hiyo kaki tatu yenyewe anatakiwa awe kashachukuliwa sijui kajificha wapi huyu mwana hizaya
 
Mimi akipitisha tu hiyo posho, basi nitaanza kuwa fisadi, huku kazi sifanyi mimi ni kutafuta tu wapi hela za serikali zipo ili nizipige
 
Kikwete hapo alipo uso umemshuka, alowaamini akawateua wamemuangusha! hapo alipo anahuzunika maskini Rais wetu. wamedhihirisha UCHU, UROHO, ULAFI, TAMAA NA UFISADI ama ni dalili za njaa na umaskini ulivyokithiri kwa MTANZANIA!!
Wametia aibu na inasikitisha. Mungu amnusuru Kikwete walokole washatia kambi kuomba albadiri LOL!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…