Rais Kikwete : wimbo wa Salome ni mzuri sana,ndiyo maana mimi ni mshabiki wa Diamond

Huyu mzee wakina Mnyika walikuwa wanamwita jina gani vile
 
Wimbo mpya wa Diamond ni mzuri sanaaa.
 
Rais wa nchi kumpongeza rais wa mziki si vibaya long live mondiiii
 
Ila ndege yetu ina shida huku ikiitwa "pangaboi" kule inaitwa "bomba dia"
 
Nimecheka peke yangu, mwanzo nilidhan ni yule chancellor wa udsm
 
Kuna taarifa naifuatilia kuhusu Le Baharia kusaidia wahañgà wa tetemeko kulala Double Tree hotel hadi pale misaada itakapotolewa...........
Haha haah ebu ifuatilie haraka hiyo habari
 
Hatari tupu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…