HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni muhimu wasanii kupeana support.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni muhimu wasanii kupeana support.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asantheNi muhimu wasanii kupeana support.
Atakayekuelewa lazma achekeNi muhimu wasanii kupeana support.
[emoji108]
Hahaha, eti "bomba dia"Ila ndege yetu ina shida huku ikiitwa "pangaboi" kule inaitwa "bomba dia"
Rais wa nchi kumpongeza rais wa mziki si vibaya long live mondiiii
Pole kwa ban mkuu, mimi nimetoka jana kifungonikwani huyo Kikwete wa huko nae ni msanii.
swissme
Haha haah ebu ifuatilie haraka hiyo habariKuna taarifa naifuatilia kuhusu Le Baharia kusaidia wahañgà wa tetemeko kulala Double Tree hotel hadi pale misaada itakapotolewa...........
Hatari tupu mkuu....akiendelea kueleza RAIS HUYO amesema ndege hizo sabini, moja itakuwa reserved kwa ajili ya King of all social media all the way from downtown aliyetunikiwa le degree tatu kwa pamoja. Kuwekwa kwa ndege hiyo only for Le akili kubwaz kumezingatia uzito wa mwili na tabia yake ya kujiachia miguu huku na kule akiwa katika vitanda vya hotel ya double tree hivyo atapewa BOMBADIA ya peke yake. Mhudumu katika ñdege hiyo anatarajiwa kuwa mmarekani wa green card mwenye talaka moja na swahiba wa karibu wa Le baharia Mange Kimambi... Pia rais amefichua furaha yake juu ya kupenda mashati na pens za Le Bàharia Le Mubebez zenye uwezo wa kufunika vitz mbili.