Rais kila neno lake tekelezo, msipo angalia anaweza kuua nchi

Rais kila neno lake tekelezo, msipo angalia anaweza kuua nchi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nimesikitika pale raisi unaposema wanaokosoa kuwa ni magaidi ni kwamba hata huu utekaji ni maagizo yako kwa wanaokukosoa.

Hapa neno gaidi sasa limeshakuwa wakosowaji na wanaharaki lolote la kuwatokea wewe ndio umepitisha.
 
Kama kukosoa tuu n ugaidi, huyu mama angeishi Nigeria na some Islamic states angeujua ugaidi wenyewe sasa
 
Back
Top Bottom