Rais kujiunga Chadema

Rais kujiunga Chadema

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Posts
1,081
Reaction score
313
Wadau wa sheria naomba kujua ikiwa mwaka huu Rais JK akajiondoa CCM na kujiunga CHADEMA itakuwaje?
 
Ni haki yake ya msingi,hakuna sheria ya nchi inayomzuia labda kwa upande wa sheria za chama
 
Sidhani kama wanachama na viongozi wa CHADEMA watamkubali! Labda aende TLP na CUF!
 
Atakuwa amepoteza urais wake mara moja, na nchi itabidi irudi kwenye uchaguzi tena!
 
chadema wangechekelea mpaka jino la mwisho lakini ndo haiwezekani
 
Wa Kwilondo inawezekana kabisa mara baada ya kuivuruga CCM to death point akawarudishia kadi zao na kujiunga na chama kingine chochote akiwa mwananchi wa kawaida! Wakati huo atakuwa siyo Rais tena
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa sheria naomba kujua ikiwa mwaka huu Rais JK akajiondoa CCM na kujiunga CHADEMA itakuwaje?

atapewa kadi ya chadema na atabaki na ya ccm kama slaa, mrema, wasira (ana ya chadema na nccr) etc
 
Back
Top Bottom