Rais kumzawadia mtoto pipi alikuwa na maana gani?

Sasa pipi mtoto zinamsaidia nini? JK hujaza mapipi kwenye gari kugawia watoto.....!
Masanilo inaonyesha una matatizo makubwa ,nakushauri ukapime uwezo wa akili au ubongo ,ni ushauri wa bure.

Hivi ulitaka amsaidie nini ? Au wewe ukimgaia mtoto kitu unataka kimsaidia nini ? Pengine wewe ni bahili sana na sidhani kama umewahi kumpa mtoto kitu chochote kile maana inaonyesha kuna muonekano katika akili yako kuwa utafilisika.
 
Mkuu umechukulia personal mno, haina shida nimeisha weka appointment na GP wangu nitaenda kwa CT scanner next week asante kwa ushauri. Nilifikiri tunajenga hoja rahisi afanye nini unakuja na kashfa...
 
Kheeee heeee heeee!MMhm

hhehehe msianze tena siasa za kimapinduzi hapa

huyo mtoto anatuwakilisha wengi ambao tumeridhika na the status quo kwa kupewa 'pipi' zetu in form of ahadi tamu tamu ambazo utekelezaji wake ni mgumu

inabidi tufike mahali kila mmoja awepo kwenye gari lake, hata kama sio at the same level, lakini kwa hili tofauti ni kubwa mno....sisemi kuwa JK kakosea ila picha inanifanya nifikiri zaidi...na ingekuwa mimi ndo JK ningeshuka kabisa chini walau nikagua hayo malenge lenge kichwani kisha niwawajibishe wahusika kuanzia wizara ya afya....na wizara ya elimu kwa kushindwa ktekeleza sera na mipango ya maendeleo...au hii ni utopia tu?
 
Mkuu Kaizer,
Chukua tano kabisa.
Hapa inabidi tu kukubaliana na maneno ya FMes kuwa viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe. Mwakani watu watapewa PIPI za watu wazima (Khanga, ng'ombe, T-Shirt za "Yanga", maneno matamu nk) na jamaa hata kwenye gari hatashuka. Tutafurahia uzuri wa gari lake na maneno yake na uzuri wa mgombea. Tutampa kura zetu huku tukionyesha jino la mwisho mdomoni mwetu.
Kweli Bob Marley alikuwa na akili sana alipoimba "Jikwamueni kutoka kwenye UTUMWA wa ki-akili".
 
Hivi watu mlitegemea huyo mtoto akatae hizo peremende? Kuna vitu na vitu vya kukosoa lakini hili kwa kweli mnachemka. Eti mnakosoa Kikwete kumpa pipi dogo? Hehehe akili ya wasomi wa Kiafrika inashangaza sana
 
Mwakani watu watapewa PIPI za watu wazima (Khanga, ng'ombe, T-Shirt za "Yanga", maneno matamu nk) na jamaa hata kwenye gari hatashuka. Tutafurahia uzuri wa gari lake na maneno yake na uzuri wa mgombea. Tutampa kura zetu huku tukionyesha jino la mwisho mdomoni mwetu.

Duu hilarious Siko-nge uchambuzi makini huu, watu wanaona sawa nadhani wanatatizo kubwa zaidi....JK anacheza na akili za Watanzania....hawa ni wapipi tu....hawafikirii zaidi ya hapo.
 
jamani hapa kuna vitu viwili, kuna Jakaya kama Jakaya na JAkaya kama Rais, sasa basi kwa muda wote, Kwa kipindi hichi tulichpo sasa Yeye Jakaya ni Raisi, hivyo basi kwa asilimia kubwa chochote anachokifanya sisi waTanzania tunamjudge kama rasi na sio kama Jakaya, mpaka hapo atakapotoka madarakani, na kwa muda wote huo anatakiwa awe ni mtu wa mifano na matendo mema, hapa swali kubwa ni kuwa alijiandaa na hizo pipi kwa ajili ya kwenda kujigawa kijijini au na yeye ni mpenzi wa peremende kwa hiyo hizo zilikuwa just mabakina kwa sisi kama Raia tunajifunza nini kutoka kwa raisi wetu
 
Mkuu Kaizer,
Chukua tano kabisa.
Hapa inabidi tu kukubaliana na maneno ya FMes kuwa viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe. Mwakani watu watapewa PIPI za watu wazima (Khanga, ng'ombe, T-Shirt za "Yanga", maneno matamu nk) na jamaa hata kwenye gari hatashuka. Tutafurahia uzuri wa gari lake na maneno yake na uzuri wa mgombea. Tutampa kura zetu huku tukionyesha jino la mwisho mdomoni mwetu.
Kweli Bob Marley alikuwa na akili sana alipoimba "Jikwamueni kutoka kwenye UTUMWA wa ki-akili".

Ewaaa, hapo naona umenielewa bara bara mkuu...tukiweza kujikwamua kiakili kwenye hili tutakuwa tumepiga hatua ya maendeleo ya kiukweli...in fact, huyo mtoto alitakiwa amuulize kwa nini yeye JK yupo kwenye gari zuri hivyo il hali yeye pengine hana viatu, huduma ya afya, elimu nzuri nakadhalika? hatuoni pengine kwa hali hii ilibidi JK aende kwa baiskeli huko Lindi kama sio kutembea kwa miguu kabisa?
 
Kaizer Kaizer Kaizer!! Umeshasema huyo ni mtoto. Cut the kid some slack. Please...unataka kumtwisha majukumu ambayo hata hastahili kutwishwa. Ni watoto wangapi wanaowaza hayo mambo uliyoyataja hapo juu?

Nyinyi akili yenu wakati mwingine sijui hufanyaje kazi. Mtoto mdogo kama huyo akili yake imelenga katika kucheza tu haya mambo ya huduma za afya, sijui elimu nzuri n.k. ni wajibu wa watu wazima. Good God almighty...huyo mtoto hata kubalehe hajabalehe achilia mbali kuweza kupiga kura.

Woooohohohohohoooo....Lol@ Miafrika's common sense!!!!
 
Hapa naweza kuuliza ni vipi mtoto alilifikia gari la raisi ? lakini sio kuuliza eti raisi kwanini anampaga pipi mtoto ?
 
At least hilo ni swali valid kidogo kuliko kusema huyo mtoto alitakiwa kumhoji raisi kuhusu a.b.c.d, etc.

Kwa kuangalia haraka haraka tu huyo mtoto pengine hajazidi hata miaka 10 halafu unamtegemea kuanza kuuliza mambo ya huduma za afya. Where is The Truth when you need him?
 
Kaizer Kaizer Kaizer!! Umeshasema huyo ni mtoto. Cut the kid some slack. Please...unataka kumtwisha majukumu ambayo hata hastahili kutwishwa. Ni watoto wangapi wanaowaza hayo mambo uliyoyataja hapo juu?

Nyinyi akili yenu wakati mwingine sijui hufanyaje kazi. Mtoto mdogo kama huyo akili yake imelenga katika kucheza tu haya mambo ya huduma za afya, sijui elimu nzuri n.k. ni wajibu wa watu wazima. Good God almighty...huyo mtoto hata kubalehe hajabalehe achilia mbali kuweza kupiga kura.

Woooohohohohohoooo....Lol@ Miafrika's common sense!!!!

Mkuu I get your line of explanation, but please take some time and just see it the other way round......ideally ni mtoto kweli na hawezi kummuliza wala kuwaza hayo niliyosema....lakini kwa hali halisi ilivyo, na nikijaribu kufikiria kama huyo 'mtoto' angekuwa ni mkereketwa mwingine...I am just using him kama metaphor mkuu NN....lol
 
Oooh please..your so called "metaphor" ni mbofu! Hukuweka hilo wazi, na pili umesema "in fact". Kama watu kama wewe ambao somehow mko "sophisticated" but yet fail to string together even a coherent sentence...it just makes me go hmmmmm....

Still, ubaya uko wapi kwa Kikwete kumpa huyo mtoto peremende? Orodhesha huo ubaya hapa...
 
Sioni ubaya wowote kwa yeye kugawa peremende. Watu wengine mko criticism happy na mtakosoa chochote tu kile akifanyacho au akisemacho. Hoja ambayo ina maana kidogo labda ni kwenye suala la usalama ingawaje hata hilo mimi sioni kama kuwa ni tatizo. Kwanza picha yenyewe haitupi wide view ya kuweza kuona kama kulikuwa na mlinzi pembeni ya hilo gari.

Ukiangalia vizuri chini mkono wa kulia wa hiyo picha utaona kitu ambacho pengine ni mkono wa mtu aliyevaa Kaunda suti anayeweza kuwa mlinzi. Kwa ujumla sioni ubaya yeye kugawa hivyo viutamu. Kumkosoa kwa hilo ni petty!!!!

NN:

Wachangiaji hapa wengi hapa ni Great thinkers lakini ni irrational. Picha ya rais kutoa viutamu kwa watoto haielezi chochote kile cha kumfanya yeye kukosolewa. Hivyo picha inawezekana ilipigwa jumamosi au jumapili au wakati shule zimefungwa.
 
Mkuu I get your line of explanation, but please take some time and just see it the other way round......ideally ni mtoto kweli na hawezi kummuliza wala kuwaza hayo niliyosema....lakini kwa hali halisi ilivyo, na nikijaribu kufikiria kama huyo 'mtoto' angekuwa ni mkereketwa mwingine...I am just using him kama metaphor mkuu NN....lol

Wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa unauliza vitu gani? Acheni pumba hizo. Let kids be kids.
 
NN:

Wachangiaji hapa wengi hapa ni Great thinkers lakini ni irrational. Picha ya rais kutoa viutamu kwa watoto haielezi chochote kile cha kumfanya yeye kukosolewa. Hivyo picha inawezekana ilipigwa jumamosi au jumapili au wakati shule zimefungwa.

Watu kweli wapo irrational hapa. Kibaya zaidi kuna wengine wanajidai wana advanced degrees lakini ukisoma comments zao ubakaki kusema 'hmmmm' hivi huyu kweli kamaliza hata sekondari...yaani pumba juu pumba.
 
Wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa unauliza vitu gani? Acheni pumba hizo. Let kids be kids.

Baada ya kumbana anadai eti kamtumia mtoto kama "metaphor"....Lol

Where is The Truth when you need him?
 
Back
Top Bottom