Masanilo inaonyesha una matatizo makubwa ,nakushauri ukapime uwezo wa akili au ubongo ,ni ushauri wa bure.Sasa pipi mtoto zinamsaidia nini? JK hujaza mapipi kwenye gari kugawia watoto.....!
Masanilo inaonyesha una matatizo makubwa ,nakushauri ukapime uwezo wa akili au ubongo ,ni ushauri wa bure.
Hivi ulitaka amsaidie nini ? Au wewe ukimgaia mtoto kitu unataka kimsaidia nini ? Pengine wewe ni bahili sana na sidhani kama umewahi kumpa mtoto kitu chochote kile maana inaonyesha kuna muonekano katika akili yako kuwa utafilisika.
Kheeee heeee heeee!MMhmKwa hiyo anamzidi maalim Seif? au?
Kheeee heeee heeee!MMhm
huyo mtoto anatuwakilisha wengi ambao tumeridhika na the status quo kwa kupewa 'pipi' zetu in form of ahadi tamu tamu ambazo utekelezaji wake ni mgumu
inabidi tufike mahali kila mmoja awepo kwenye gari lake, hata kama sio at the same level, lakini kwa hili tofauti ni kubwa mno....sisemi kuwa JK kakosea ila picha inanifanya nifikiri zaidi...na ingekuwa mimi ndo JK ningeshuka kabisa chini walau nikagua hayo malenge lenge kichwani kisha niwawajibishe wahusika kuanzia wizara ya afya....na wizara ya elimu kwa kushindwa ktekeleza sera na mipango ya maendeleo...au hii ni utopia tu?
Mwakani watu watapewa PIPI za watu wazima (Khanga, ng'ombe, T-Shirt za "Yanga", maneno matamu nk) na jamaa hata kwenye gari hatashuka. Tutafurahia uzuri wa gari lake na maneno yake na uzuri wa mgombea. Tutampa kura zetu huku tukionyesha jino la mwisho mdomoni mwetu.
Mkuu Kaizer,
Chukua tano kabisa.
Hapa inabidi tu kukubaliana na maneno ya FMes kuwa viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe. Mwakani watu watapewa PIPI za watu wazima (Khanga, ng'ombe, T-Shirt za "Yanga", maneno matamu nk) na jamaa hata kwenye gari hatashuka. Tutafurahia uzuri wa gari lake na maneno yake na uzuri wa mgombea. Tutampa kura zetu huku tukionyesha jino la mwisho mdomoni mwetu.
Kweli Bob Marley alikuwa na akili sana alipoimba "Jikwamueni kutoka kwenye UTUMWA wa ki-akili".
ilibidi JK aende kwa baiskeli huko Lindi kama sio kutembea kwa miguu kabisa?
Mmmhh. This is an outlier......
Ewaaa, hapo naona umenielewa bara bara mkuu...tukiweza kujikwamua kiakili kwenye hili tutakuwa tumepiga hatua ya maendeleo ya kiukweli...in fact, huyo mtoto alitakiwa amuulize kwa nini yeye JK yupo kwenye gari zuri hivyo il hali yeye pengine hana viatu, huduma ya afya, elimu nzuri nakadhalika? hatuoni pengine kwa hali hii ilibidi JK aende kwa baiskeli huko Lindi kama sio kutembea kwa miguu kabisa?
Hapa naweza kuuliza ni vipi mtoto alilifikia gari la raisi ? lakini sio kuuliza eti raisi kwanini anampaga pipi mtoto ?
Kaizer Kaizer Kaizer!! Umeshasema huyo ni mtoto. Cut the kid some slack. Please...unataka kumtwisha majukumu ambayo hata hastahili kutwishwa. Ni watoto wangapi wanaowaza hayo mambo uliyoyataja hapo juu?
Nyinyi akili yenu wakati mwingine sijui hufanyaje kazi. Mtoto mdogo kama huyo akili yake imelenga katika kucheza tu haya mambo ya huduma za afya, sijui elimu nzuri n.k. ni wajibu wa watu wazima. Good God almighty...huyo mtoto hata kubalehe hajabalehe achilia mbali kuweza kupiga kura.
Woooohohohohohoooo....Lol@ Miafrika's common sense!!!!
Mkuu I get your line of explanation, but please take some time and just see it the other way round......ideally ni mtoto kweli na hawezi kummuliza wala kuwaza hayo niliyosema....lakini kwa hali halisi ilivyo, na nikijaribu kufikiria kama huyo 'mtoto' angekuwa ni mkereketwa mwingine...I am just using him kama metaphor mkuu NN....lol
Sioni ubaya wowote kwa yeye kugawa peremende. Watu wengine mko criticism happy na mtakosoa chochote tu kile akifanyacho au akisemacho. Hoja ambayo ina maana kidogo labda ni kwenye suala la usalama ingawaje hata hilo mimi sioni kama kuwa ni tatizo. Kwanza picha yenyewe haitupi wide view ya kuweza kuona kama kulikuwa na mlinzi pembeni ya hilo gari.
Ukiangalia vizuri chini mkono wa kulia wa hiyo picha utaona kitu ambacho pengine ni mkono wa mtu aliyevaa Kaunda suti anayeweza kuwa mlinzi. Kwa ujumla sioni ubaya yeye kugawa hivyo viutamu. Kumkosoa kwa hilo ni petty!!!!
Mkuu I get your line of explanation, but please take some time and just see it the other way round......ideally ni mtoto kweli na hawezi kummuliza wala kuwaza hayo niliyosema....lakini kwa hali halisi ilivyo, na nikijaribu kufikiria kama huyo 'mtoto' angekuwa ni mkereketwa mwingine...I am just using him kama metaphor mkuu NN....lol
NN:
Wachangiaji hapa wengi hapa ni Great thinkers lakini ni irrational. Picha ya rais kutoa viutamu kwa watoto haielezi chochote kile cha kumfanya yeye kukosolewa. Hivyo picha inawezekana ilipigwa jumamosi au jumapili au wakati shule zimefungwa.
Wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa unauliza vitu gani? Acheni pumba hizo. Let kids be kids.