Rais kusafiri nje ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi 2020|25

Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Shaka ni jabali la Siasa za Tanzania,
 
CCM inatoa KIBALI kwa Mwenyekiti Akisafiri nje na sio RAIS
 
Wakati Rais anasafiri huko ulaya aangalie namna vijana wanavyosulubika kwa kukosa ajira.

 
Asante Chama cha Mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…