Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Mbowe sio Gaidi
wacheni mahakama iseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe sio Gaidi
Ugaidi ni nini? Je umeandikwa usoni kwa mtu? Tuache Mahakama ifanye kazi yakeMbowe sio Gaidi
FactUgaidi ni nini? Je umeandikwa usoni kwa mtu? Tuache Mahakama ifanye kazi yake
DaaahUgaidi ni nini? Je umeandikwa usoni kwa mtu? Tuache Mahakama ifanye kazi yake
daahUgaidi ni nini? Je umeandikwa usoni kwa mtu? Tuache Mahakama ifanye kazi yake
Hakika,Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,
Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,
Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
Shaka ni jabali la Siasa za Tanzania,Shaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM
MONDAY DECEMBER 06 2021
![]()
Summary
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Shaka ameeleza hayo leo Jumatatu Desemba 6, 2021 mbele ya Rais Samia, kwenye hafla ya kuzindua kiwanda cha Elsewedy Electronic East Africa Ltd cha kuzalisha vifaa vya umeme (Electronic Products ) kilichopo Kisarawe II, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam.
Shaka amesema kumekuwa na maswali mengi kwa watu kuhoji kwanini Rais huyo amekuwa akisafiri nje ya nchi mara kwa mara na kwamba ilani ya chama hicho imempa njia na nguvu namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wa ndani ya nchi.
“Kumekuwa na maswali kwanini Rais anasafiri sana nchi za nje. Amepewa baraka na kibali cha kusafiri nje ya nchi na ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ibara ya 132 kifungu kidogo cha 18, kifungu kidogo cha 22 kifungu kidogo cha 32 kifungu kidogo cha 46imemuonesha namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wan chi.,”amesema Shaka
Amesema Uongozi ni kitu cha ajabu sana na uhalisia wa uongozi utangulizwa na uzalendo na kwamba Rais huyo ameshaonesha asilimia 100 kutokana na ujasiri,utayari,karama ya udhubutu wa kutekeleza ilani kwa Weledi na kwa mafanikio makubwa.
Amesema hadi sasa Rais huyo muelekeo wake ni mzuri na alipeleka taifa kule ambako walio wengi wanatarajia kuwa na uchumi unaokuwa kila siku ndani ya Afrika na kuwafanya watanzania kujivunia nafasi yao ya kijiografia.
Hakika chini ya Rais Samia nchi inapumua sasa,My Tanzania, My Country, Twende na Mama Samia Suluhu Hassan,
CCM inatoa KIBALI kwa Mwenyekiti Akisafiri nje na sio RAISShaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM
MONDAY DECEMBER 06 2021
![]()
Summary
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Shaka ameeleza hayo leo Jumatatu Desemba 6, 2021 mbele ya Rais Samia, kwenye hafla ya kuzindua kiwanda cha Elsewedy Electronic East Africa Ltd cha kuzalisha vifaa vya umeme (Electronic Products ) kilichopo Kisarawe II, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam.
Shaka amesema kumekuwa na maswali mengi kwa watu kuhoji kwanini Rais huyo amekuwa akisafiri nje ya nchi mara kwa mara na kwamba ilani ya chama hicho imempa njia na nguvu namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wa ndani ya nchi.
“Kumekuwa na maswali kwanini Rais anasafiri sana nchi za nje. Amepewa baraka na kibali cha kusafiri nje ya nchi na ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ibara ya 132 kifungu kidogo cha 18, kifungu kidogo cha 22 kifungu kidogo cha 32 kifungu kidogo cha 46imemuonesha namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wan chi.,”amesema Shaka
Amesema Uongozi ni kitu cha ajabu sana na uhalisia wa uongozi utangulizwa na uzalendo na kwamba Rais huyo ameshaonesha asilimia 100 kutokana na ujasiri,utayari,karama ya udhubutu wa kutekeleza ilani kwa Weledi na kwa mafanikio makubwa.
Amesema hadi sasa Rais huyo muelekeo wake ni mzuri na alipeleka taifa kule ambako walio wengi wanatarajia kuwa na uchumi unaokuwa kila siku ndani ya Afrika na kuwafanya watanzania kujivunia nafasi yao ya kijiografia.
Asante Chama cha MapinduziShaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM