Rais kutoa zawadi hadharani (Bahasha) ni dalili za rushwa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
wakuu
===

Rais Samia akitoa zawadi kwa watumbuizaji siku ya leo, alipotembelea kituo cha utamaduni na makumbukusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani Mwanza.

MAONI YANGU

Hiki kitendo nakifananisha na rushwa kuelekea uchaguzi mkuu kwa sababu hakuna ulazima wakutoa zile zawadi hadharani angeweza tu kuwapa wasaidizi wake ingawa isengeweza kutoa uhalisia wa mambo RUSHWA.
Your browser is not able to display this video.
 
Hao wapo juu ya sheria wao ndio takukuru
 
Weka hapa tafsiri ya neno rushwa na pia tafsiri ya neno ZAWADI.
 
CHURA a.k.a Dalali HAJIAMINI!! Tena!!
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…