Rais Kuwaalika Ikulu Washindi wa Majukwaa JamiiForums kwa mwaka 2022

Rais Kuwaalika Ikulu Washindi wa Majukwaa JamiiForums kwa mwaka 2022

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na nasikia anatamani mno na sana Kumjua GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ili amuulize anataka ampe Cheo gani ili amsaidie na alisaidie Taifa lake Tukuka.

Haters msichoke Kunichukia JF Okay?
 
Ungependa upewe cheo gani??

Mama huyu hapa; Samiaagain2025

Ila mtani ninakupigia debe sio unapewa cheo (ulaji) halafu uje kunisahau!!, hapatatosha 😀😀
 
Moderator mgonjwa wenu katoroka wodi. kaonekana anarandaranda jirani na eneo la maabara.

please tumeni watu wa kufatilia mienendo yake kabla hajasababisha madhara.
 
Ungependa upewe cheo gani??

Mama huyu hapa; Samiaagain2025

Ila mtani ninakupigia debe sio unapewa cheo (ulaji) halafu uje kunisahau!!, hapatatosha 😀😀
Nikipewa Cheo cha kuwa Mtunza Funguo zote za Benki Kuu na Hazina za Serikali nitamshukuru sana Rais.
 
Back
Top Bottom