Rais Kuwaalika Ikulu Washindi wa Majukwaa JamiiForums kwa mwaka 2022

Rais Kuwaalika Ikulu Washindi wa Majukwaa JamiiForums kwa mwaka 2022

Nikipewa Cheo cha kuwa Mtunza Funguo zote za Benki Kuu na Hazina za Serikali nitamshukuru sana Rais.


Ili lile neno lake la; "kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake" litimie kwako?? 😀😀

Hiyo unayoihitaji ni kamba ndefu sana.
 
Na nasikia anatamani mno na sana Kumjua GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ili amuulize anataka ampe Cheo gani ili amsaidie na alisaidie Taifa lake Tukuka.

Haters msichoke Kunichukia JF Okay?
😂😂😂😂 Aiseh ww Genta kweli Cheti chako kina lamination.
 
Back
Top Bottom