Rais, kwa Nini unatufumba WATANZANIA? nani anataka kutugawa sisi? tusitafte mchawi ukweli upo wazi

Rais, kwa Nini unatufumba WATANZANIA? nani anataka kutugawa sisi? tusitafte mchawi ukweli upo wazi

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Adui mkubwa wa nchi yetu so mwingine ni Hawa;

1. Ukosefu WA ajira kwa vijana wetu.

2 UTAWALA usiofata Sheria za nchi hata kama katiba yetu ni mbovu lakini haifatwi( mfano kijana wa CCM kukemea maccm wenzake anakamatwa wanapiga mijeredi), NATAMBUA mh raia una MKONO mrefu utakuwa umeona clip ya Makalio ya kijana wa CCM mitandaoni.

3. Ukosefu WA katiba mpya.

4.kutokuwa tayari kuwajibika na kuwajishwa kwa watawala.
5. Kutawaliwa na watu AMBAO hatukuwachagua.

Mengi ni mengi lakini ILI la matumizi mabaya ya Kodi zetu na wizi WA RASIRIMALI za Taifa hatuwezi fungia macho

Huyo adui unae dai anataka kutugawa you wapi Mama?
Tenda haki haki haki haki haki haki.
 
Back
Top Bottom